DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 8,806
- 18,251
- Thread starter
- #41
Nilikuwa nimeki OverLook hicho kipengele ni baada ya kukisoma tena Ni naomba kuthibitisha kuwa..Unfortunately Rais anaruhusiwa kuvunja bunge na wakarudi kwenye uchaguzi. Since hakuna mbunge anaweza risk hilo ina maana watahamia CCM mara baada ya tu ya uchaguzi.
Hata Kenya tuliona hili, Odinga alikua na wabunge wengi ila Ruto alishinda urais. Ikabidi tu wabunge wengi wa odinga waunge mkono juhudi otherwise wangekosa miradi ya kiserikali n.k
Hivyo tunahitimisha kwamba anayeshinda Urais ndio atahodhi bunge hivyo hata upinzani ukishinda wabunge wengi bado hawawezi mchallenge Rais sababu ya katiba iliyompa umungu mtu Rais wetu
KWA KATIBA HII HAKUNA CHAMA CHA UPINZANI CHOCHOTE KITAKACHOCHUKUA NCHI HATA KAMA WAKIWEPO WOTE BUNGENI