ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 11,016
- 9,722
Kuuliza si ujingaAkili za Mungu hazichunguziki.
Kuuliza si ujingaAkili za Mungu hazichunguziki.
Sicho nilichouliza , swali ni ili Mungu anaweza kuumba kitu kilichomzidi yeye ?Hakuna kitu ambacho kipo juu ya Mungu,yeye mwenyewe anasema Mimi ni Wa Kwanza na Mwisho,Mimi ni Yehova.
Wanapita kimya kimya... Nafarijika mimi si sehemu ya hayo maswaliWamekimbia uzi
Vip ambao hawana mwilKwa kifupi Mola anaweza yote..
Tena andiko lanena..
Tazama, mimi ni BWANA, Mungu wa wote wenye mwili; je! Kuna neno gumu lo lote nisiloliweza?
Ujinga ni kinyume cha elimu. Huu ujinga umegawanyika sehemu mbili :
1. Ujinga ambao dhidi yake ni elimu.
2. Ujinga ambao dhidi yake ni hila
Aina zote hizi mbili nimezizingatia katika mada yangu hii.
Ama kuhusu uongo ni kinyume cha ukweli. Huu nao umegawanyika sehemu kuu mbili:
1. Uongo wa Kauli
2. Uongo wa matendo
Hapa katika uongo natilia mkazo kauli ya mja mwema mmoja tena mwanazuoni aliposema "Laiti kama UONGO ungekuwa ni jambo jema na lenye kuruhusiwa basi mimi nisingesema uongo kwa ajili ya kujitakasa"
Uongo ni tabia mbaya,tabia ambayo hatakiwi yeyote yule apambike kwayo.
Baada ya utangulizi huo. Yafuatayo ni maswali ya uongo na kijinga.
1. Je Mola anaweza kuumba kitu sawa na Yeye ?NDIO/na HAPANA
2. Je Mola anaweza kumtoa kiumbe wake nje ya milki yake ?NDIO na HAPANA
3. Je Mola anaweza anaweza kuumba jiwe ambalo hawezi kulibeba ?NDIO na HAPANA
4. Kwa kuwa Mola ameumba viumbe baada ya kutokuwepo viumbe hivyo hapo kabla,Je Mola anaweza kuona au kujua kitu tu ambacho hakipo ?NDIO na HAPANA
JIB
Haya ni maswali ya uongo na ya kijinga,kama yupo anae pinga athibitishe kwamba maswali haya si ya uongo wala sio ya kijinga.
from ramsey noahNiliona swali la kufanana na hili kwenye movie ya Kanumba "Devil kingdom
Hivi kwenye NURU,giza linakuwepo ?NDIO na Hapana kwa sababu hayo maswali uliyouliza hayako ndani ya uwezo wako kuelewa Jibu lake.
NDIO na Hapana kwa sababu hayo maswali unapaswa kumuuliza Mola Mwenyewe na Sio viumbe wake
NDIO na Hapana kwa sababu uwezo wa Mungu hauipimwi kwa vigezo vya kibinadamu
NDIO na Hapana kwa sababu-Lisilowezekana kwa Binadumu kwa Mungu liawezekana na hakuna linalowezekana kwa binadamu bila neema ya Mungu.
Nuru ni nini na Giza ni nini?Nuru na Giza ni kitu kimoja isipokuwa to kwa mtazamaji.Hivi kwenye NURU,giza linakuwepo ?
Hii ndio na hapana zinawezaje kukaa sehemu moja ?
Sijaluelewa hapo. Ufafanuzi tafadhali.
Hapa naona unajichanganya mwenyewe.Nuru ni nini na Giza ni nini?Nuru na Giza ni kitu kimoja isipokuwa to kwa mtazamaji.
FFS, are we still debating this ?Ujinga ni kinyume cha elimu. Huu ujinga umegawanyika sehemu mbili :
1. Ujinga ambao dhidi yake ni elimu.
2. Ujinga ambao dhidi yake ni hila
Aina zote hizi mbili nimezizingatia katika mada yangu hii.
Ama kuhusu uongo ni kinyume cha ukweli. Huu nao umegawanyika sehemu kuu mbili:
1. Uongo wa Kauli
2. Uongo wa matendo
Hapa katika uongo natilia mkazo kauli ya mja mwema mmoja tena mwanazuoni aliposema "Laiti kama UONGO ungekuwa ni jambo jema na lenye kuruhusiwa basi mimi nisingesema uongo kwa ajili ya kujitakasa"
Uongo ni tabia mbaya,tabia ambayo hatakiwi yeyote yule apambike kwayo.
Baada ya utangulizi huo. Yafuatayo ni maswali ya uongo na kijinga.
1. Je Mola anaweza kuumba kitu sawa na Yeye ?
2. Je Mola anaweza kumtoa kiumbe wake nje ya milki yake ?
3. Je Mola anaweza anaweza kuumba jiwe ambalo hawezi kulibeba ?
4. Kwa kuwa Mola ameumba viumbe baada ya kutokuwepo viumbe hivyo hapo kabla,Je Mola anaweza kuona au kujua kitu tu ambacho hakipo ?
Haya ni maswali ya uongo na ya kijinga,kama yupo anae pinga athibitishe kwamba maswali haya si ya uongo wala sio ya kijinga.
Unajitahidi kujenga hoja inayounga mkono hoja yangu.Mwanga umo ndani ya Giza na Giza limo ndani ya Mwanga.Kuona giza au mwanga kunategemea na uwezo wa muonaje.hio ndio "nature" Mwanga.Je unajua kitu kinaitwa Photon?Hapa naona unajichanganya mwenyewe.
Je umeuliza swali kwa ajili ya kujijibu mwenyewe au umeuliza swali kwa sababu hujui ? Chagua hali moja kati ya hizo mbili.
Huwezi kutazama bila kuona,japokuwa unaweza kutazama na usione,kipofu hata akiangalia vipi kwenye giza au kwenye nuru hataona tofauti yoyote. Sababu yeye hana uwezo wa kuona,sasa turudi kwa mwenye kuona. Mwenye kuoa hawezi kuona gizani mpaka apate msaada wa kile kitakacho muwezesha kuona,na hicho kitu lazima kiwe dhidi ya giza yaani kiwe ni kinyume cha giza. Sasa iweje giza na nuru iwe kitu kimoja ? Usiikosee adabu akili,hili jambo rahisi sana.
Si kweli kwamba giza na nuru ni kitu kimoja huu ni uongo wa wazi kabisa,kwenye nuru giza hushika njia.
Nakuuliza swali kisha ujihukumu mwenyewe,unajuaje kama hili ni giza na huu ni mwanga (Nuru) kwa kuangalia ?
Je mwanamke anaweza kuwa mwanaume wakati huo huo kwa kutegemea yule anae muangalia ?
Kama ilivyo giza hakai kwenye nuru ndivyo ilivyo "ndio" na "hapana" hawakai pamoja,mmoja akiwepo mwingine lazima ashike njia.
Nipo ......
FFS ndio nini kaka ?FFS, are we still debating this ?
Naona hujaelewa nilichokiandika,japo ni chepesi sana.Unajitahidi kujenga hoja inayounga mkono hoja yangu.Mwanga umo ndani ya Giza na Giza limo ndani ya Mwanga.Kuona giza au mwanga kunategemea na uwezo wa muonaje.hio ndio "nature" Mwanga.Je unajua kitu kinaitwa Photon?
Usizuie Ubongo wako kufikiri na kutafakari.kuwa mke au mme na kumuona mtu kuwa mke au mme ni vitu viwili tofauti.Inawezekana kabisa kumuona me kuwa ke kama fikra zako zinakuwezesha kuona hivyo.Usiogoe kufikiri
Kwahiyo kusema kwako maswali ya uongo , ndio umejibu maswali ulioulizwa !!! ahahahahahahhahahaaha
Mkuu,naelewa msingi wa fikra zako na tofauti zetu.Kimsingi Uwezo wa Mungu hauwezi kupimwa kwa maswali ya kibinadamu na fikra za kibinadamu kwani ni fikra ambazo ni kwa ajili ya binadamu na ubinadamu wake.Kwa maana hiyo basi nataka kusema hivi,Mjadala huu sio wa kiwango cha fikra zako kwani msingi wa hoja zako ni katika mtazamo wa human limitation ambazo kiuhalisia sio applicable mintarafu uwezo wa Mola.Unaweza kukubali ama kukataa ila huwezi kuthibitisha bila shaka kukubali au kukataa kwako na hapo ndipo uwezo wako unapoishia na Uwezo wa Mola unapoanziaNaona hujaelewa nilichokiandika,japo ni chepesi sana.
Sababu naona jambo rahisi linakushinda,ngoja niendelee kukurahisishia zaidi.
Je ni wakati gani mwanga hutoka ndani ya giza ?
Unajua fika mchana huwa kuna mwanga na sababu ya mwanga huo ni jua,usiku huwa kuna mwanga kulingana na hali mbili,aidha nuru ya mwezi au kandili/Kandiri au mfabo wake,wakati huo giza linakuwa wapi ? Acha kufikiria kitoto,fikiria kikubwa. Hili jambo rahisi sana.
Hivi kitu ili kiwe kimoja kinatakiwa kiwe na sifa gani ?
Mke au mme ni hali mbili zilizo kinyume kimaana na kimaada,hata utazame vipi huwezi kukuta hali mbili hizo kwa wakati mmoja,na hivi ndivyo ilivyo kwa mwanga na giza.
Angalizo naomba uwe unajibu maswali yangu.
Suala la Photon hayo yanabaki kuwa ni makubaliano ya Wanasayansi,na si kigezo cha kusema ukweli,sababu nuru na mwanga vinajulikana tangu kioindi ambacho Sayansi haikuwa ni yenye kutajwa,kwahiyo jikite kwenye ukweli na uhalisia.
Nakuacha na deni la maswali niliyo kuuliza,siku ukiuliza wakubwa zako maswali hayo usisite kunistua.Mkuu,naelewa msingi wa fikra zako na tofauti zetu.Kimsingi Uwezo wa Mungu hauwezi kupimwa kwa maswali ya kibinadamu na fikra za kibinadamu kwani ni fikra ambazo ni kwa ajili ya binadamu na ubinadamu wake.Kwa maana hiyo basi nataka kusema hivi,Mjadala huu sio wa kiwango cha fikra zako kwani msingi wa hoja zako ni katika mtazamo wa human limitation ambazo kiuhalisia sio applicable mintarafu uwezo wa Mola.Unaweza kukubali ama kukataa ila huwezi kuthibitisha bila shaka kukubali au kukataa kwako na hapo ndipo uwezo wako unapoishia na Uwezo wa Mola unapoanzia
Ujinga ni kinyume cha elimu. Huu ujinga umegawanyika sehemu mbili :
1. Ujinga ambao dhidi yake ni elimu.
2. Ujinga ambao dhidi yake ni hila
Aina zote hizi mbili nimezizingatia katika mada yangu hii.
Ama kuhusu uongo ni kinyume cha ukweli. Huu nao umegawanyika sehemu kuu mbili:
1. Uongo wa Kauli
2. Uongo wa matendo
Hapa katika uongo natilia mkazo kauli ya mja mwema mmoja tena mwanazuoni aliposema "Laiti kama UONGO ungekuwa ni jambo jema na lenye kuruhusiwa basi mimi nisingesema uongo kwa ajili ya kujitakasa"
Uongo ni tabia mbaya,tabia ambayo hatakiwi yeyote yule apambike kwayo.
Baada ya utangulizi huo. Yafuatayo ni maswali ya uongo na kijinga.
1. Je Mola anaweza kuumba kitu sawa na Yeye ?
2. Je Mola anaweza kumtoa kiumbe wake nje ya milki yake ?
3. Je Mola anaweza anaweza kuumba jiwe ambalo hawezi kulibeba ?
4. Kwa kuwa Mola ameumba viumbe baada ya kutokuwepo viumbe hivyo hapo kabla,Je Mola anaweza kuona au kujua kitu tu ambacho hakipo ?
Haya ni maswali ya uongo na ya kijinga,kama yupo anae pinga athibitishe kwamba maswali haya si ya uongo wala sio ya kijinga.
Siamini.Mkuu Zurri, hili ni Swali lingine la Uongo na la Kijinga, Je...unaamini/umeamini vipi kama A..ni a na B....ni b...!!
Nijibu hili kwanza...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]