Miongoni mwa maswali ya UONGO na KIJINGA

Kisai

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Posts
29,126
Reaction score
29,345
Ujinga ni kinyume cha elimu. Huu ujinga umegawanyika sehemu mbili :

1. Ujinga ambao dhidi yake ni elimu.

2. Ujinga ambao dhidi yake ni hila

Aina zote hizi mbili nimezizingatia katika mada yangu hii.

Ama kuhusu uongo ni kinyume cha ukweli. Huu nao umegawanyika sehemu kuu mbili:

1. Uongo wa Kauli

2. Uongo wa matendo

Hapa katika uongo natilia mkazo kauli ya mja mwema mmoja tena mwanazuoni aliposema "Laiti kama UONGO ungekuwa ni jambo jema na lenye kuruhusiwa basi mimi nisingesema uongo kwa ajili ya kujitakasa"

Uongo ni tabia mbaya,tabia ambayo hatakiwi yeyote yule apambike kwayo.

Baada ya utangulizi huo. Yafuatayo ni maswali ya uongo na kijinga.

1. Je Mola anaweza kuumba kitu sawa na Yeye ?

2. Je Mola anaweza kumtoa kiumbe wake nje ya milki yake ?

3. Je Mola anaweza anaweza kuumba jiwe ambalo hawezi kulibeba ?

4. Kwa kuwa Mola ameumba viumbe baada ya kutokuwepo viumbe hivyo hapo kabla,Je Mola anaweza kuona au kujua kitu tu ambacho hakipo ?

Haya ni maswali ya uongo na ya kijinga,kama yupo anae pinga athibitishe kwamba maswali haya si ya uongo wala sio ya kijinga.
 
Kwa kifupi Mola anaweza yote..
Tena andiko lanena..
Tazama, mimi ni BWANA, Mungu wa wote wenye mwili; je! Kuna neno gumu lo lote nisiloliweza?
 
Unatakiwa ujibu ayo maswali maana Mola wako atumuoni , wewe unayewasiliana nae badala ya kujibu maswali unaanza kukejeli maswali , ujinga ni kutojibu swali uliloulizwa kwa visingizio vya kitoto sana
 
Kwa andiko ilo unatuthibitishia kuwa BWANA Mungu wako anaweza kuumba kitu kilichomzidi maarifa ata yeye mwenyewe?
 
Unatakiwa ujibu ayo maswali maana Mola wako atumuoni , wewe unayewasiliana nae badala ya kujibu maswali unaanza kukejeli maswali , ujinga ni kutojibu swali uliloulizwa kwa visingizio vya kitoto sana
Nijibu nini wakati nimeshakwambia ni maswali ya uongo,ambayo wakubwa zako huwa wanauliza.
 
Kwahiyo kusema kwako maswali ya uongo , ndio umejibu maswali ulioulizwa !!! ahahahahahahhahahaaha
 
hapo uliposema ujinga ni kinyume cha elimu una maanisha nini?
mtoa mada ndio unatakiwa uzibitishe hayo maswali ni ya kijinga na ya uongo,
 
1.Je Mola anaweza kuumba kitu sawa na yeye ?
Hili swali huwa linaulizwa na Atheist/ Mulhi/ WakanaMungu baada ya sisi tunao amini uwepo wa Mola muumba,mwenye uwezo wa kuumba na mwenye ujuzi.
 
Ujinga ni kinyume cha elimu. Huu ujinga umegawanyika sehemu mbili :

1. Ujinga ambao dhidi yake ni elimu.

2. Ujinga ambao dhidi yake ni hila

Aina zote hizi mbili nimezizingatia katika mada yangu hii.

Ama kuhusu uongo ni kinyume cha ukweli. Huu nao umegawanyika sehemu kuu mbili:

1. Uongo wa Kauli

2. Uongo wa matendo

Hapa katika uongo natilia mkazo kauli ya mja mwema mmoja tena mwanazuoni aliposema "Laiti kama UONGO ungekuwa ni jambo jema na lenye kuruhusiwa basi mimi nisingesema uongo kwa ajili ya kujitakasa"

Uongo ni tabia mbaya,tabia ambayo hatakiwi yeyote yule apambike kwayo.

Baada ya utangulizi huo. Yafuatayo ni maswali ya uongo na kijinga.

1. Je Mola anaweza kuumba kitu sawa na Yeye ?

2. Je Mola anaweza kumtoa kiumbe wake nje ya milki yake ?

3. Je Mola anaweza anaweza kuumba jiwe ambalo hawezi kulibeba ?

4. Kwa kuwa Mola ameumba viumbe baada ya kutokuwepo viumbe hivyo hapo kabla,Je Mola anaweza kuona au kujua kitu tu ambacho hakipo ?

Haya ni maswali ya uongo na ya kijinga,kama yupo anae pinga athibitishe kwamba maswali haya si ya uongo wala sio ya kijinga.

(6) Mola (Mungu) kaumbwa au kajiumba ??
 
(6) Mola (Mungu) kaumbwa au kajiumba ??

Hili pia ni swali la UONGO vile vile.

Mola yupo wala hana wa mwanzo kabla yake wala hakuna wa mwisho baada yake,yeye yupo na hafungani na wakati.
 
Hili swali huwa linaulizwa na Atheist/ Mulhi/ WakanaMungu baada ya sisi tunao amini uwepo wa Mola muumba,mwenye uwezo wa kuumba na mwenye ujuzi.
Jibu swali hakuna sababu ya kutaja watu
 
Jibu swali hakuna sababu ya kutaja watu
Nimeandika Kiswahili chepesi ya kuwa mimi sina swali la kujibu hapo,sababu hayo maswal ya Uongo huwa tunaelekezewa sisi na Wakana Mungu,ndio sisi tunawaambia ya kuwa maswali hayo ni ya UONGO.
 
Back
Top Bottom