- Thread starter
- #21
hapo uliposema ujinga ni kinyume cha elimu una maanisha nini?
mtoa mada ndio unatakiwa uzibitishe hayo maswali ni ya kijinga na ya uongo,
Nakujibu kwa kukupa maana ya Elimu,kisha kile kinyume chake ndio Ujinga.
Elimu maana yake ni kukidiriki kitu kama kilivyo. Yaani nikisema haya ni Maji,basi yawe maji kweli na si vinginevyo. Kwa ufupi hiyo ndio maana ya Elimu.