Wewe ni hamnazo na kama bado ni mwanafunzi huko shuleni mwalimu wako anayo shida kubwa sana.
Sasa angalia kwa makini hapa;
Mungu sifa yake moja ni ; الله احد (Mungu ni mmoja), hivyo umoja au upweke wake (his oness) hawezi akashirikiana na yeyote pia Yeye ni (الله اكبر) Allahu skbar, yaani Mungu ni mkubwa kabisa,
Sasa hizi sifa mbili za umoja na ukubwa wake (His oneness and greatness)- zinamfanya asiweze kuumba kitu kingine kama yeye au zaidi yake na hawezi kufanya hivyo ili kulinda heshima na hadhi na utukufu wake, hapo sasa ndipo utapata point kwamba hawezi kwa ajili ya kulinda STATUS zake, akifanya hivyo basi huyo anakuwa di Mungu yule mkubwa na mmoja ambacho ni kitu kisichowezekana kuwa hivyo kwake kwa ajilibya STATUS YAKE.
Nikupe mfano halisi, akija mtu akakuuliza wewe swali kwamba: "je,unaweza kula mavi??"-- bila shaka jibu lako litakuwa hapana huwezi kula kwasababu akili, hadhi na ufahamu wako unakukataza kufanya jambo hilo, ila wapo watu wanaoweza kula mavi na mtu wa aina hiyo ni lazima akapimwe akili zake.
Ni katika mfano huo ninataka kukuambia kuwa Hadhi, hekima, sifa njema,utukufu nk, wa Mungu ndiyo unaomuongoza katika uumbaji wake, haumbi hovyo hovyo bila malengo au aumbe kitu kitakacho kiuka sifa zake.
Nimefafanua ili ujue concept nzima ya uumbaji, ili uuachane na maswali na majibu ya ndiyo-hapana, (yes-no questions and answers ).
Eti mtu aulize, Mungu anaweza au hawezi??, na jibu liwe anaweza au hawezi, basi!!!, huo ni utoto.🤣🤣