Mine me, Baba wa mbingu, Seran, Mshana Jr na wengine

Mamnyo nimeacha hekari zaidi ya 100 kwa sababu msimu haueleweki ma mvua ma utabiri ya kishamba nimevunga
Mwenyewe nimeghairi pia mambo hayajakaa mkao! Hebu tupambane kwa namna nyingine kwanza tusubiri maimu ujao, we piga ndizi hiyo kikongwe kwanza!😜
 
Mwenyewe nimeghairi pia mambo hayajakaa mkao! Hebu tupambane kwa namna nyingine kwanza tusubiri maimu ujao, we piga ndizi hiyo kikongwe kwanza!😜
Wewe upambane ili iweje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…