Mimii ni Geooorge Marato wa I.....T....V...........

Jamani tangu jana namsikia George Marato amebadilisha swaga sasa hivi hasemi tena nikiripoti kutoka Musomaa........... Mimi George Maratoo wa I................T....................VVV. Sasa hivi namsikia kutoka Musoma, George Marato, ITV. Hahaha JF wakali mmeshambulia mpaka jamaa kabadili swaga kumbe alikuwa anajifa....:lol::lol::lol:
 
Hajaanza leo, wala hakosei. Ni jinsi gani kila mtu anavyomchukulia. Kuna thread iliwahi kumjadili double G w ITV pia, wangekuwa kero, au wabovu wasingedumu pale. Hesabu miaka waliyofanya pale.
 
Jamani tangu jana namsikia George Marato amebadilisha swaga sasa hivi hasemi tena nikiripoti kutoka Musomaa........... Mimi George Maratoo wa I................T....................VVV. Sasa hivi namsikia kutoka Musoma, George Marato, ITV. Hahaha JF wakali mmeshambulia mpaka jamaa kabadili swaga kumbe alikuwa anajifa....:lol::lol::lol:

kama ni kweli basi jf inatisha ngoja leo nimsikilizie pale saa mbili. maana hakosagi habari.
 
Back
Top Bottom