Mimii ni Geooorge Marato wa I.....T....V...........

Angekuwa anajifanyisha ungeshagundua siku nyingi tu ila ile ni yake toka ndani ile.
 
Umesahau mbwembwe za ben kiko wa rtd enzi zile? Za ezekiel marongo nazo umesahau?

Ntamaholo umenikumbusha Ben kiko tupo naye Tabora ni meneja wa radio stesheni ya Rage yaitwa VOT. Kwa kweli huyu jamaa ni mbisi
 
Unajuwa kuna dada mmoja ni mrembo tena mzuri huwa ananiambia anaupenda sana mdomo wangu mimi huwa naona ananiletea mizaha, sasa hapa kweli nimeamini mapenzi kweli mabaya, yaani mimi huyu jamaa huwa akianza tu kuripoti ni lazima niskip chanel sipendi kabisa kusikia ujinga wake.
Afadhali mbwembwe za Hasan Malini kidogo zinakubalika lakini sio huyu Idiot Marato wa ITVEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!
 
Jamani huu jama huwa simuelewi, huwa anajifanyisha au??

Ndiyo anajifanyisha. Sababu ya kufanya hivyo ni "swagga" tu kama walivyosema baadhi ya wadau. Katika kutafuta swagga unaweza ukaja na isiyofaa. Tuombe tu baadhi ya wababe hapa wasije na majibu mepesi "ndivyo alivyoumbwa."
 
hahahahahahahahahaha.....dah huyu jamaa siku ya kwanza kumsikiliza hilo swaga lake nilibaki hoi
 
Acheni hizo! Watu wakiweka mbwembwe kwingine hamlalamiki. Hii ya GM ndo kikorombwezo chake hicho. Ni burudani kumsikiliza anavyoshindana na watoto kumalizia! Tuseme wote .... wa I-----T-------Viiiiiiiiii!
 
Unajuwa kuna dada mmoja ni mrembo tena mzuri huwa ananiambia anaupenda sana mdomo wangu mimi huwa naona ananiletea mizaha, sasa hapa kweli nimeamini mapenzi kweli mabaya, yaani mimi huyu jamaa huwa akianza tu kuripoti ni lazima niskip chanel sipendi kabisa kusikia ujinga wake.
Afadhali mbwembwe za Hasan Malini kidogo zinakubalika lakini sio huyu Idiot Marato wa ITVEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!

Mkuu Saigon taratibu ndg yangu................huyu ni mwanadamu aliyeumbwa na aliyekuumba wewe...........sema usichokipenda na sio kumkosoa kwa lafudhi ama uongeaji wake ama kumtusi isitoshe ni Baba wa familia chukulia mwanaye anatusoma hapa...............je sisi wenye vigumizi na vithembe je? thi ndio mtatoa baruti?
 
Back
Top Bottom