moghasa
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 1,084
- 1,254
- Thread starter
- #141
mkuu Mimi ni mwalimu wa sekondary nafanya kazi na watoto wanaobarehe !! wanaviburi hatari !!Hapana mkuu,kwa maelezo aliyatoa ni dhahiri ni Mwalimu.Tena mwalim wa malezi I(descpline master).Wanafunzi wanaonza mapenzi na wenzao darasani ni wapuuzi hasa wa kiume.Sasa dawa yao ni kufukuza tu wakakae na wazazi wao maana wanatia hasira.Wakidundwa jamii inakuja juu lakini wazazi wamekosa kuwapa malezi mazuri nyumbani mzigo unabaki kwa walim
ninachofanya Mimi ni kukata ujinga !!