Pumba tu. Wala ualimu hauko unavyodhani! You are too low in this profession. Hadi unatia huruma. Labda utujuze nani alikulazimisha kuwa mwalimu?Tena huwa sihangaiki na mzazi !!
kuna siku nilishusha kipondo kwa kadenti furani ambako kwasababu ya wingi wa chunusi usoni kalihisi kamekomaa !!
kakaleta mzazi !
mzazi anasema anataka kujua kwanini mtoto wake amechapwa !!
nikamwambia mkuu tumia busara kumfukuza huyu mzazi !! tofauti na hapo nae atahusika na [HASHTAG]#bakora[/HASHTAG].
Aliaga mwenyewe.
Stakagi ujinga Mimi.
'am too low because your milky thing inside your calabash on top your neck is too low !! up root it !! then I will surely change !!Pumba tu. Wala ualimu hauko unavyodhani! You are too low in this profession. Hadi unatia huruma. Labda utujuze nani alikulazimisha kuwa mwalimu?
powa mwalimu, na poleni kwa kazi ngumu mliyonayo sasa hivi kumekuwa na msemo mtaani mtot akiwa mtukutu anaambiwa ngoja uanze shule utakoma, haaaahaaa, sasa nimeelewa ila punguzeni kidogo.kama umemwelewa, basi hilo ndio lengo la mawasiliano !!
Mimi pia ni mwl wa malezi !! nahakikisha kuwa bikra ya mkeo mtarajiwa iko salama bado mnatutibua !!! CAN'T YOU CALCULATE THE RISK YOU PEOPLE?
Enzi zangu nikiwa nasoma walimu kama nyie sijawahi waacha ....ulizia historia yangu hasira na utu uzima wako peleka kwa mkeo na watoto wakoWasalaamu wakuu!!
kwanza kabisa napenda kuwa omba mods wasiunganishe huu Uzi licha ya trend tuliyonayo, kwani Mimi ni mwalimu naomba nieleze nilivyo, yes waalimu tulivyo.
Napenda kutoa pole yangu ya dhati kabisa kwa mkuu wa shule kwa yaliyomfika, waalimu waliofikwa na janga na mtoto aliyepatwa.
maisha ya shule yana mengi, nadhani na pia ni hakika kuwa wengi humu tumepita shule ( ndio, hata la saba ni shule), Mimi kama mwalimu na kwa uzoefu wangu niliokaa kazini ningeweza kumwadhibu mtoto kama huyo wa mbeya kwa sababu zifuatazo;
(a) Ameonesha kunigomea mbele ya wanafunzi wenzake.
Kama kawaida hakuna mtu mzima yeyote ambaye anapenda kudhalilishwa mbele ya watoto.
Inatokea mwlm unataka kutoa adhabu kwa mwanafunzi eidha kwa kuwa ana kidemu chake darasani anaamua kuonesha dharau na migomo ya waziwazi. Hapo mi ambacho nafanya ni kupiga kama naua NYOKA ili wenzake wakiona wasijiingize kwenye kosa kama lake kamwe. HII INAITWA HESHIMA KWANZA, KAZI BAADAE.
(b) Mwanafunzi ameletwa Ofisini na Mwalm A ambaye anaonekana mnyonge au mpole hana makuu kwasababu hiyo mwanafunzi anamgomea adhabu eidha ya kupiga magoti au kuchapwa! wanafunzi wa aina hiyo Mimi huwa naomba SUB then naagiza mzigo wa kuni badala ya kupikia nabadili matumizi kwa manufaa ya ofisi.
(c) Nimetoka kwenye ATM nakuta mshahara Wangu umekatwa Tsh 60000 bila maelezo ya msingi, narudi shule nakutana na mtoto aliyeshindikana kwao kajichanganya mbele yangu hapo lazima ni convert tsh 60000 to 60000 sticks of coplar punishment.
Mnaojifanya kutetea humu wengi wenu hii kazi ya ualimu hamuijui au mnadhani kwa vile watoto wenu wanapenda shule, basi mnahisi ni wote dunia nzima.
Hakuna mwalimu kichaa hapa duniani ambaye mtoto hajagomea au kusumbua kupokea adhabu, atapigwa kiasi kile.
wito wngu.
waalimu wenzangu, pesa hatuna bado tunatafutwa kufungwa, unapopiga hakikisha kamera ya simu yako iko ofu.
Mpaka pale wanaotokwa mapovu hapa JF watakapowafunza maadili mema watoto wao na fimbo zitafutika zenyewe.
Kwa ukurya nilionao, ujinga darasani + ukorofi mwanao alionao, ACHUNGE SANA.
Because of people like you the world is full of GAYS ,!! try to shake your shrunken potato !!You are just a frustrated low life loser devoid of basic parenting skills,, a platform that just occurs instinctively.. In other words, you are a mere scumbag. And trust me, thought you have tonnes of problems, these poor kids that you set out to victimize every other day are not one of them. So stay the **** away from our children before we shovel your Big head far up your Ass. Pathetic twat!!
Hukupata mbabe !! eti ulizia historia yangu " ntauliziaje anonymous! dv 5 kazi sanaEnzi zangu nikiwa nasoma walimu kama nyie sijawahi waacha ....ulizia historia yangu hasira na utu uzima wako peleka kwa mkeo na watoto wako
Nakukunja hautasahau maisha yako yote
Nyie mnaolalamikia walimu kwan kuna haja ya kuwapeleka watoto wenu shule kwa hao walim, waachen watoto wenu nyumban mtawafundisha wenyew, hata nyinyi c mmesoma hayo masomo!!!!
Kushakucha tena.
yani hata hapo ujaelewa? nyie ndo mnatzalia mtt viburi mpaka makalioniSo what?
Bravo...kudadeki.Wasalaamu wakuu!!