PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 13,287
- 22,186
Mwandae nyumbani !! sio we anakushinda then unampush kwetu!! unategemea nini kama sio kuaply busara za role model wangu Mike Iron Tyson.
We mwalimu kichwa maji. Hapa tulikuwa tunaongea jinsi gani ya kumwandaa mtoto kisaikolojia. You study or you don't deserve to be in this school. Ndio hivyo ndio tulivyofanyiwa sisi, na tulisoma kwasababu tuliogopa kurudi nyumba.
Sio unavuta bangi zako unampiga mtoto kama ngoma. Na muwaonee hao hao watoto wa walamba lips, ingekuwa mwanangu ndio anapigwa vile kwa kisingizio cha discipline hadithi ingekuwa tofauti. Nafikiri huyo Waziri wenu angetoa agizo mzazi akamatwe mara moja.