jiniaz
Senior Member
- Aug 27, 2016
- 148
- 90
Ndofaida yaku ingilia yaso kuhusuHivi tunamtukana nani, mi nimetukana tu...
Ndofaida yaku ingilia yaso kuhusuHivi tunamtukana nani, mi nimetukana tu...
Kwani kuongea kiingereza ndio kumuhitimisha mtoto?
Shule za Academic hamkuziona?
Hebuuuuuu.......
Hakuna mwalimu mwenye madaraka ya kumfukuza mwanafunzi wa shule ya serikali. Serikali inapenda takwimu, inataka wanaoanza shule wote wamalize ndo Maana inafuta mitihani ya mchujo na kuweka mazingira magumu sana kumfukuza mwanafunzi asiye na nidhamu.Hapo kwenye red ndio point yangu tangu mwanzo wa topic hii. Nimesema saikolojia ndio inaleta discipline mahali popote, mwanafunzi akishajua nikileta upumbavu narudi nyumbani lazima asome. Sasa hawa wanaojiita walimu humu JF ni chenga tu. Hawajui jinsi ya kutatua matatizo kwenye kazi zao.
Ungerecord ndugu yanguNgoja nilale, nikusanye nguvu za kuandika kesho, maana wiki hii Frank katutengenezea jina.
kipindi na fundisha niliwahi kutana na changamoto moja sito isahau jamani!!!!
kuna watoto wakorofi lakini basi tu!!! kuna mtoto wa kidato cha tatu alimpiga tofali mwalimu la kichwa mpaka leo huwa anapoteza poteza kumbukumbu alafu kisa mwalim kamkamata mtoto ametoroka yuko kwenye PS
chaajabu mwanafunzi aliamishiwa shule ingine!!!!!
Kwa mwaka huu mi ningekuwa mwalimu ningemwbia huyo mwanafunzi go and repeat again and againKuna kesi moja ya bibi alikuwa anaishi na mjukuu wake wa kiume...... Siku moja usiku mjukuu kaja akavunja mlango akamalala bibi yake. .
Bibi yake badala ya kwenda Polisi alienda kushtaki shule...... Na dogo aliitwa na akakiri.
Alipewa kichapo kitakatifu alitubu dhambi zake zote

Walimu poleni, kumbe mnakula mahakimu zaidi ya ualimu wenu, ntashauri ligavamenti liwaongezee posho ya uhakimu au waweke ofisi ya mahakama shuleni,Huyo bibi nae kataka, alikuwa na ugwadu wake.
Unalalaje na mjukuu wako aliye katika balekhe kali?
Yaani unajikuta tu hakimu wa kesi za majumbani

Atakuwa mtoto wake anampiga deo akilala ndomana haongei kwa busaraWe mlee tu vyema, ila akiwa kichwa maji kama wewe yeye ndio atakukata hizo pumbu kabla hata hujamkaribia mwalimu.
na we usijekuwa kama johnson meki na english yake ya have been !Hahahaaaaa walimu wajiendeleze hata wakiwa kazini, simu za mkononi sio udaku na kushinda JF tu.
Utajuaje kama wengine wapo zaidi ya hizo walipopitia maishani...
Zitto Kabwe kaandika kitu wamerusha uzi re walimu wa sasa.
Yaani unamaanisha Guantanamo ndani ya shule, upo vizuri wewe, ligavament limesikia mawazo yakoHii ndio ya kuinyoosha vizuri. .
Ila nawashauri kila shule itenge chumba cha kuwaadhibia watoto jeuri na kibr... Hapo kusiwepo na waalim masnicth kama yule dem aliyerokodi.
Hapo mnamfua kimya kimya. Akitoka hapo amenyooka

Atakuwa mke bora kwa mme bora, hongera kwa malezi bora, ila pongezi zaidi ni kwa wazazi wako waliokungoza kuwa mzazi bora wa leo.Aaah my dota Heaven Sent nilimlea akaleleka hana historia chafu kabisa.

Na kama baba yake siyo mvuta bhangi we mlete tuu ! mbona hataguswa!!Kuwa na walimu wavuta bangi kama hawa...ni bora mwanangu nimuozeshe tu....
AmenWasalaamu wakuu!!
kwanza kabisa napenda kuwa omba mods wasiunganishe huu Uzi licha ya trend tuliyonayo, kwani Mimi ni mwalimu naomba nieleze nilivyo, yes waalimu tulivyo.
Napenda kutoa pole yangu ya dhati kabisa kwa mkuu wa shule kwa yaliyomfika, waalimu waliofikwa na janga na mtoto aliyepatwa.
maisha ya shule yana mengi, nadhani na pia ni hakika kuwa wengi humu tumepita shule ( ndio, hata la saba ni shule), Mimi kama mwalimu na kwa uzoefu wangu niliokaa kazini ningeweza kumwadhibu mtoto kama huyo wa mbeya kwa sababu zifuatazo;
(a) Ameonesha kunigomea mbele ya wanafunzi wenzake.
Kama kawaida hakuna mtu mzima yeyote ambaye anapenda kudhalilishwa mbele ya watoto.
Inatokea mwlm unataka kutoa adhabu kwa mwanafunzi eidha kwa kuwa ana kidemu chake darasani anaamua kuonesha dharau na migomo ya waziwazi. Hapo mi ambacho nafanya ni kupiga kama naua NYOKA ili wenzake wakiona wasijiingize kwenye kosa kama lake kamwe. HII INAITWA HESHIMA KWANZA, KAZI BAADAE.
(b) Mwanafunzi ameletwa Ofisini na Mwalm A ambaye anaonekana mnyonge au mpole hana makuu kwasababu hiyo mwanafunzi anamgomea adhabu eidha ya kupiga magoti au kuchapwa! wanafunzi wa aina hiyo Mimi huwa naomba SUB then naagiza mzigo wa kuni badala ya kupikia nabadili matumizi kwa manufaa ya ofisi.
(c) Nimetoka kwenye ATM nakuta mshahara Wangu umekatwa Tsh 60000 bila maelezo ya msingi, narudi shule nakutana na mtoto aliyeshindikana kwao kajichanganya mbele yangu hapo lazima ni convert tsh 60000 to 60000 sticks of coplar punishment.
Mnaojifanya kutetea humu wengi wenu hii kazi ya ualimu hamuijui au mnadhani kwa vile watoto wenu wanapenda shule, basi mnahisi ni wote dunia nzima.
Hakuna mwalimu kichaa hapa duniani ambaye mtoto hajagomea au kusumbua kupokea adhabu, atapigwa kiasi kile.
wito wngu.
waalimu wenzangu, pesa hatuna bado tunatafutwa kufungwa, unapopiga hakikisha kamera ya simu yako iko ofu.
Mpaka pale wanaotokwa mapovu hapa JF watakapowafunza maadili mema watoto wao na fimbo zitafutika zenyewe.
Kwa ukurya nilionao, ujinga darasani + ukorofi mwanao alionao, ACHUNGE SANA.
Na kama baba yake siyo mvuta bhangi we mlete tuu ! mbona hataguswa!!
tatizo litakuja kama siku ya kutungwa mimba kwake ulipiga viroba au bange then shuleni unataka matokeo chanya!!
mwache aolewe tu mkuu hamna namna!
Yule alikuwa boyfriend wake nini mpaka akapiga video.atoto
Pia hao waalim masinitch nao ni kupambana nao. ..... Hao wanajifanya wanataka urafiki na wanafunzi kumbe ni uoga.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Tena shwain.
Na mara nyingi mzazi akiongea pumba mbele ya mwanae huwa anampa jeuri
Kuna mzazi alikuja na kifuko cha nyama toka buchani, alikuja kuleta fyokofyoko....mbona nyama alienda kuiosha na sabuni,
Afu sie kwetu tuna umoja balaa.
Akija mzazi, mwalimu wa darasa anatangulia nae ofisini, tunanyanyuka mmoja mmoja.
Huko sasa....atahua kilichomtoa khanga manyoya.
Vp huyo mwanafunzi akikataa kutoka darasani? Imeshawahi kunitokea binti akakataa kutoka darasani. Nikamuachia tabasamu, nikaendelea na kipindi. Mwisho wa siku alirudi sup, nahisi namna nilivyomhandle alipata msongo wa mawazo akajua lazima aingie wavuni.Mwanafunzi Akileta ujinga dawa yake siku hizi kumtoa tu class asihudhurie kipindi chako hata usijisumbue kumchapa .
Ha ha ha iwe stoo ili akimaliza kupata kichapo viti vibovu vinamalizia kumdondokea kichwaniHii ndio ya kuinyoosha vizuri. .
Ila nawashauri kila shule itenge chumba cha kuwaadhibia watoto jeuri na kibr... Hapo kusiwepo na waalim masnicth kama yule dem aliyerokodi.
Hapo mnamfua kimya kimya. Akitoka hapo amenyooka
Kaboy kake kapigwe afurahi!Wale jamaa walikosea kumfua eneo la wazi kiasi kile .....
Na huyo madame aliyerekodi natamani ningekutana naye ..maaaaninaaaa zake