Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,835
- 37,445
Kabisa.Wawalee watoto wao kabla hawajatuletea murder case, maisha yenyewe stress alafu eti mtoto wa mtu nae aniletee stress!! Nawaza pesa mie siwazi toto la mtu liloshindikana.
Mzazi anayeelewa nini maana na umuhimu wa elimu sidhani kama atakuwa na tatizo na sisi.
Wapo wazazi wasiosoma lakini anakwambia kabisa kuwa, yeye hajasoma ila anataka mtoto wake asome ili amsomee barua na magazeti nyumbani pamoja na kuleta heshima ktk familia.
Ila kuna wale kundi la ISIS sasa, wako kama ma-mumiani.
Hawaeleweki wanachotaka.
Kusoma hawajasoma, ubishi ubishi tu.
Kuleta ujuaji, ila akisikia faini ya kulipa kwa uzembe, uso wake sasa unavyomshuka, kama punda anachungulia kisimani.