Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,409
- 176,313
Safi kabisa, anakuja wa motoooo anarudi kaloa.Tena shwain.
Na mara nyingi mzazi akiongea pumba mbele ya mwanae huwa anampa jeuri
Kuna mzazi alikuja na kifuko cha nyama toka buchani, alikuja kuleta fyokofyoko....mbona nyama alienda kuiosha na sabuni,
Afu sie kwetu tuna umoja balaa.
Akija mzazi, mwalimu wa darasa anatangulia nae ofisini, tunanyanyuka mmoja mmoja.
Huko sasa....atahua kilichomtoa khanga manyoya.