Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

Jambo kuu ni kutokumuonea mwanafunzi .... Ila mwanafunzi akijifanya jeuru lazima uwe jeuri zaidi yake
 
Kuna wazazi wanakasirika watoto wake wakifunga shule ... Anajua balaa na laana imekuja nyuma

Leo hii wanakaza mpaka mshipa wa t@k0 kumtetea mtoto fedhuli aliyenyooshwa ili ufedhuli umtoke
Hawa hawa ndio wanatamani shule zisifungwe watoto wakae shule tuuu utadhani walituzalia, alafu inajifanya kuropoka ropoka. Wakae na watoto wao wawafunze adabu kabla hawajaanza kunyooshea walimu vidole.
 
Hii ndio ya kuinyoosha vizuri. .

Ila nawashauri kila shule itenge chumba cha kuwaadhibia watoto jeuri na kibr... Hapo kusiwepo na waalim masnicth kama yule dem aliyerokodi.

Hapo mnamfua kimya kimya. Akitoka hapo amenyooka
Vyumba mbona vipo?
Kuna stoo za majembe zinaitwa.
Mnamuingiza humo, anapigwa kimya kimya.
Akitoka hapo anakimbilia bombani kunywa maji apoze koo na maumivu, maana maji yote yamekamuliwa na fimbo
 
Habari ndo hiyo, wakimwaga mboga, sie tunamwaga ugali na kubinua kabisa mkeka na maji ya kunawa tunaoshea nywele.
Mabibi wenyewe walivyo wabishi basi.
Ila tunakomaa nao hivo hivo, hawataki....wahame shule, wahamie jela
Si wamesema wanawapeleka shule zenye walimu sijui wa aina gani, basi wawaondoe tu tubaki na watoto wanaotaka kusoma waone kama watalaumu tena!!
Nawapenda wanafunzi wangu, ila hii mizazi yao ndio fyokolo kabisa, ndio wa kulaumiwa kwa kila kitu, nyambafu zao.
 
Kumbe walimu ni wengi kiasi hiki!

but mwenye uelewa achambue comment zote za walimu alafu ndo atapata taswira halisi ya jinsi walimu wetu walivyo.

yaani wote wana negative perception kwa wanafunzi alafu ndo useme kina frank wameonewa!

Hakika walikosea sana na inapaswa wapewe adhabu kali sana but kwa kuwa bado ni wanafunzi ata hawajajua nn maana ya dissertation ni bora serikali iwaonee huruma waruhusiwe kuendelea na masomo yao huenda wakawa mabalozi wazuri hapo baadae.
lilowapata laweza mpata binadamu yeyote.

Ila na nyie walimu badirikeni jaman
Nasisi wazazi tubadilike.. Tuwalee watoto ktk maadili

Hakuna Mwl kichaa wa kumtandika mtoto bila sababu.... Jiulize kwanini huyo mwanafunzi kaadhibiwa peke yake??

Mtoto fedhuli anapaswa kuadhibiwa kifedhuli hadi Ujinga umtoke
 
Naona wamekimbia...
Walidhani hii kazi ni lelemama?
Watoto wao wamewashindwa majumbani, kuja kutupa mizigo sie.

Mzazi anakuja bila aibu anaomba eti likizo ya mwezi wa 6 nibaki na mwanae nimfundishe maana nyumbani huwa analeta usumbufu na fujo.
Khaaaa!!!
Alikuwa haoni uzazi wa mpango?
Niache kuota nyama zilizopotea Jan-Jun, bado wanibebeshe rumbesa?
 
Ya Said wa Scorpion washasahau, wanaibuka na lingine.
Kazi hii jamani,
Hakimu wewe, daktari wewe, mlinzi wewe, mzazi wewe, mwamuzi wewe, ......n.k
Tutaacha kupata moto kichwani?
Watuache jamani.

Wanajifanya dunda, akija kwa ofisi ananywea kama nyanya iliyopoa barafu
Fumua hao mpaka akili iwe sawa kama huna fimbo tandika na rula ya kuchorea ubaoni ..
 
Huyo bibi nae kataka, alikuwa na ugwadu wake.
Unalalaje na mjukuu wako aliye katika balekhe kali?
Yaani unajikuta tu hakimu wa kesi za majumbani
Alafu hizi kesi za kipuuzi acha tu, mtoto mwingine alilalwa na babu yake hadi kammimba then akamtoa, emagine mtoto wa form one ashatoa mimba3 na ana idadi ya wanaume 10 ambao ashalalwa nao.

Mama anaitwa anajitia ujuaji eti mwanangu hata ungo hajavunja mnamsingizia, anamuuliza mwanae, mtoto anasema kavunja tangu la6, akabaki analia tu.

Wanadhani malezi ni kutafuta pesa tu, then umpeleke mtoto shule nzuri, mnunulie game player, na aweke house maids wa5 basi. Watabaki kulia tu eti 'watoto wa siku hizi' wanasahau wanafanana na 'wazazi wa siku hizi'
 
Si wamesema wanawapeleka shule zenye walimu sijui wa aina gani, basi wawaondoe tu tubaki na watoto wanaotaka kusoma waone kama watalaumu tena!!
Nawapenda wanafunzi wangu, ila hii mizazi yao ndio fyokolo kabisa, ndio wa kulaumiwa kwa kila kitu, nyambafu zao.
Tena shwain.
Na mara nyingi mzazi akiongea pumba mbele ya mwanae huwa anampa jeuri
Kuna mzazi alikuja na kifuko cha nyama toka buchani, alikuja kuleta fyokofyoko....mbona nyama alienda kuiosha na sabuni,
Afu sie kwetu tuna umoja balaa.
Akija mzazi, mwalimu wa darasa anatangulia nae ofisini, tunanyanyuka mmoja mmoja.
Huko sasa....atahua kilichomtoa khanga manyoya.
 
Jambo kuu ni kutokumuonea mwanafunzi .... Ila mwanafunzi akijifanya jeuru lazima uwe jeuri zaidi yake
Hakuna mwanafunzi alotulia eti akaonewa na mwalimu, labda huyo mwalimu ana lake jambo.
Mbona wapo wanaokosea lkn unaona kabisa kwa huyu hili lilikuwa bahati mbaya, hata humgusi unaongea nae tu kwa upendo unamrudisha kwenye mstari. Ila linalojifanya nunda, basi unakwenda nalo kinunda nunda tu.
 
Vyumba mbona vipo?
Kuna stoo za majembe zinaitwa.
Mnamuingiza humo, anapigwa kimya kimya.
Akitoka hapo anakimbilia bombani kunywa maji apoze koo na maumivu, maana maji yote yamekamuliwa na fimbo
Wale jamaa walikosea kumfua eneo la wazi kiasi kile .....

Na huyo madame aliyerekodi natamani ningekutana naye ..maaaaninaaaa zake
 
Walidhani hii kazi ni lelemama?
Watoto wao wamewashindwa majumbani, kuja kutupa mizigo sie.

Mzazi anakuja bila aibu anaomba eti likizo ya mwezi wa 6 nibaki na mwanae nimfundishe maana nyumbani huwa analeta usumbufu na fujo.
Khaaaa!!!
Alikuwa haoni uzazi wa mpango?
Niache kuota nyama zilizopotea Jan-Jun, bado wanibebeshe rumbesa?
Watoto wengine wanapatikana wakati mayai yameshakuwa viza........ Mzazi ni kiazi na mtoto ni kaazi.

Lazima huyu mtoto apigwe vizuri ili huo ukiazi umtoke...

Kina scorpion walifikia hapo kutokana na jamii kulea Lea ujinga
 
Alafu hizi kesi za kipuuzi acha tu, mtoto mwingine alilalwa na babu yake hadi kammimba tgen akamtoa, emagine mtoto wa form one ashatoa mimba3 na ana idadi ya wanaume 1o ambao ashalalwa nao.

Mama anaitwa anajitia ujuaji eti mwanangu hata ungo hajavunja mnamsingizia, anamuuliza mwanae, mtoto anasema kavunja tangu la6, akabaki analia tu.

Wanadhani malezi ni kutafuta pesa tu, then umpeleke mtoto shule nzuri, mnunulie game player, na aweke house maids wa5 basi. Watabaki kulia tu eti 'watoto wa siku hizi' wanasahau wanafanana na 'wazazi wa siku hizi'
Halafu wamama wanakuwaga wabishi sana wakati watoto wanakaa kwa bibi zao.
Utasema wana darubini ya kuona kinachoendelea huko alikomtupa mwanae.
Mzazi mwelewa nina imani mwanae hataguswa asilani.
Mtoto mwenye adabu na utii...atafikia goals zake vizuri tu.
Ila hawa pasua kichwa, kibri wamerithi kwa wazazi ndio shida
 
Walidhani hii kazi ni lelemama?
Watoto wao wamewashindwa majumbani, kuja kutupa mizigo sie.

Mzazi anakuja bila aibu anaomba eti likizo ya mwezi wa 6 nibaki na mwanae nimfundishe maana nyumbani huwa analeta usumbufu na fujo.
Khaaaa!!!
Alikuwa haoni uzazi wa mpango?
Niache kuota nyama zilizopotea Jan-Jun, bado wanibebeshe rumbesa?
Hapo ndipo huwa nashindwa kuwaelewa wazazi wengine, yaani anaona bora mwanae akae na mwalimu kuliko akae nae, ukifuatilia utakuta ndio hawa hawa wanazaa alafu watoto wanatupwa kwa bibi,shangazi,mjomba, nk hajazoea kubeba mizigo yake, muda wote anatafuta pa kuupeleka.

Mliwazaa wa nini kama hamtaki kuwalea?? Ndio maana watoto wanakuwa manunda, maana hajapata upendo wa wazazi wake anahisi tu kawa abandoned muda wote.
 
Walimu naona na lugha ngeni zinawapiga chenga wengine...duh mpunguze basi kuandika majanga humu..kweli hamfahi kufundisha...lazima mnatoaga 0 tu...kama uongo basi tungeona utofauti

Wasioheshimu kazi wanyooshwe tu, imefika kipindi serikali iweke namba ya wazazi na wanafunzi kupiga kushtaki. Hata namba ya mtandaoni watumiwe picha au video.
 
Back
Top Bottom