Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

kwa watoto waliokulia katika familia za waungwana ni jambo la kawaida sana,nakumbuka mpaka miaka ya tisini,ulikuwa ukimnyooshea teacher ngumi,au ata kuashiria tuu umefunga ngumi,aisee watakuua,kichapo utakachokula,hata nyumbani hutakwenda siku hyo,maana unaweza ukapewa kibano kingine cha maana sana na mzazi,
Kuna watoto tangia anaanza hadi anamaliza hajawahi kuguswa hata na mwalimu hata kumkaripia tu, watoto walio lelewa wakaleleka, sasa hii minunda inayokunjana na hadi wazazi wao eti uichekee!!!
 
na hizi media za cku hizi kila kitu haki sawa,mtoto akikushind ww hakuna hata wa kumgusa tenasi uraiani wala shuleni
Kuna watoto tangia anaanza hadi anamaliza hajawahi kuguswa hata na mwalimu hata kumkaripia tu, watoto walio lelewa wakaleleka, sasa hii minunda inayokunjana na hadi wazazi wao eti uichekee!!!
 
Ndio hawa hawa, mitoto yao itiane huko mtaani ije kushtaki shule utadhani tumeungana nayo.
Kesi zinazoletwa na wazazi za kipuuuzi, kila kitu mwalimu, alafu leo inajitia kuwatoka ya kuwatoka na kututusi.

Sie ndio maana shuleni kwetu tumeamua tunadeal na kesi za shuleni tu, hizo za nyumbani wamalizane wenyewe nyumbani, tusichoshane bila sababu za msingi. Yaani washindwe wao malezi lawama watupe sie!!!
kuna siku nilimchapa mtoto eti akajiangusha na kujifanya kazimia, niwaambia wenzie wamlaze nje kwenye jua.....wee mbona alizinduka
 
Are you afraiding that I could be your daughter's teacher ?
molesting do not suit me !! am a descipline master !!!
Discipline master who says don't be naive that your daughter is safe in schools?
 
Afu wale si wa BTP, wanapiga kiuoga uoga.
Angekutana na nunda kama mie niliepitia Tambaza, na JKT...sa hivi ningekuwa nakula ugali pamoja na Scorpion Segerea.
Mitoto ya kizazi hiki cha akina Diamond na Kiba ni viburi sana, kisa wote tunakutana Insta.

Kung'uta mpaka anamwaga uharo wa kiporo cha asubuhi
Dogo mlaini halafu anajifanya nunda....

Asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu ... Wale waalimu walikuwa wanamfunza huyo dogo. ...


Serikali inakomalia utafikiri yametokea mauaji ya kimbari
 
Kuna wanafunzi kama 10 hivi wa kdt cha nne(wawili hadi jela walishafungwa), hawa kwanza wangekuwa waache shule kabisa tokea kdt cha tatu, walimu tumehangaika kweli, wakarudi shule ila kila siku ni majanga,ni wavuta bangi na watumiaji wa miraa na virobakwenye mitihani wakiingia wanaandika majina tu then haoo wanasepa, wakitoka wanaanza kujisifia.

Tukaita wazazi, akaja mzazi wa mmoja tu nae alimpiga mwanae hadi mtoto kakimbia, akatuambia 'ndugu walimu kuanzia leo huyu sio mwanangu na hata mkiniita tena siji hata kwa mtutu'

Nikaamua kuubeba mzigo wa hawa watoto, kuongea nao nikakuta historia zao zinakaribiana wooote, wamelelewa ktk mazingira yasiyo na upendo kabisa, wengine wanajilea wenyewe, nikaanza nao councelling n other programs, nilijua wakibadilika atleast wawili itasaidia kuwabadili wote.

Mwisho wa siku wakabadilika ila ndio ile too late, now wanajutia hatari wanatamani angalau wapate cheti ila ndio labda Mungu atende miujiza.

Tunafanya kazi ngumu mno alafu mnakuja kuleta fyoko fyoko wakati nyie ndio chanzo cha hayo matatizo yote!! Msitegemee walimu tutende miujiza, badilikeni nyie mlee watoto wenu. Wengi watoto wanalelewa na mahouse girls wengine mtoto anaanza boarding akiwa chekechea, huyu upendo wa mzazi anaujua saa ngapi!!!
Umeongea kwa uchungu madam mpenda pesa, pole mwee
 
kuna siku nilimchapa mtoto eti akajiangusha na kujifanya kazimia, niwaambia wenzie wamlaze nje kwenye jua.....wee mbona alizinduka
Hahahaaaaa!!! Yaani hawa watoto jamani full drama.
 
Hahahaaaaa!! Yaani abutue baruti kwenye kipindi!! Haki hii mitoto ndio dizaini hii hii ya jf.
Acha tu.
Afu mtoto kama huyu anayetaka kukuua kwa presha ndo unamuacha tu kihasara hasara, weeeee!!!
Hamna hiyo.
 
Acha tu.
Afu mtoto kama huyu anayetaka kukuua kwa presha ndo unamuacha tu kihasara hasara, weeeee!!!
Hamna hiyo.
Wawalee watoto wao kabla hawajatuletea murder case, maisha yenyewe stress alafu eti mtoto wa mtu nae aniletee stress!! Nawaza pesa mie siwazi toto la mtu liloshindikana.
 
Dogo mlaini halafu anajifanya nunda....

Asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu ... Wale waalimu walikuwa wanamfunza huyo dogo. ...


Serikali inakomalia utafikiri yametokea mauaji ya kimbari
Ya Said wa Scorpion washasahau, wanaibuka na lingine.
Kazi hii jamani,
Hakimu wewe, daktari wewe, mlinzi wewe, mzazi wewe, mwamuzi wewe, ......n.k
Tutaacha kupata moto kichwani?
Watuache jamani.

Wanajifanya dunda, akija kwa ofisi ananywea kama nyanya iliyopoa barafu
 
Wamelala, wasije tu Wakatuota tunawatembezea kerbu maana wanatamani kumeza walimu wote.
Watumeze, tutawapasua matumbo yao tutoke.
Zazi bishi, toto bishi.
Afu katika shule ninayofundisha, % kubwa ya wanafunzi wanalelewa na mabibi zao.
Full kudekezwa, ila ni minyoosho tu wakifika skonga.
Ibada njema inaanzia nyumbani, tabia njema huanzia kwa mzazi.
Wapo wazazi walevi na wazinzi lakini katika suala la elimu wako strictly.....ila wenzangu na mimi sasa, wabishi kama kabila flani.
Acha tu.
 
Back
Top Bottom