Cynthia Chriss
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 478
- 241
2Wakorinto 7:14:18
Ni kweli kwamba kifungu hiki kina mstari wa 18?!
2Wakorinto 7:14:18
Mkuu hata wewe hujaokoka, au kweli umeokoka lakini hujakombolewa/uko kwenye kundi la wanaostahili maziwa(kwani umeshindwa kuchanganua jambo dogo namna hii). kama itatokea kwamba huo ni ubavu wako basi lazima umshirikishe Mungu na akupe assurance mbali na hivyo nakuhakikishia matatizo. Rudi kwenye angalia Isack alioa wapi!! au Israel alioa wapi!!! kama utaenda kinyume/sawa sawa na Neno itakuwa ndio majibu ya maswali yako yote, mtafakali Isack na Israel ukilinganisha na Samson itakusaidia.wapendwa katika bwana
nimetatizwa na kitu hapa,mimi ni mlokole nasali Efatha bible,nimejaribu kuomba na ku connect na baadhi ya wapendwa wenzangu lakini nahisi sikufanikiwa
ila imekuja kutokea nikaonana na mwanamke ambaye anasali roman catholic na tumependana sana japo sikutarajia wala sikua na plan yoyote ya kumwoa
naomba ushauri kwa yafuatayo:
kama nikioa mtu ambaye hajaokoka je nitaathirika kiroho?
je naweza kumuudhi mungu kwa hilo?
je maisha yetu huko mbele ya safari yatafika mbali?
je anaweza kuathiri wokovu wangu?
je naweza kwenda mbinguni?
je unafikiri naweza kumshawishi huko mbele ya safari akaokoka?
Unajifanya unaijuwa sana Biblia ehehee!! Yesu alikufa msalababani kwa ajili ya dhambi zetu sasa utasemaje sisi tuache dhambu ni dhambi zipi hizo?
Na hata kama zipo kuna mlokole yeyote mwenye kipima dhambi ambacho kinaonesha hii ni dhambi na hii siyo dhambi?
wapendwa katika bwana
nimetatizwa na kitu hapa,mimi ni mlokole nasali Efatha bible,nimejaribu kuomba na ku connect na baadhi ya wapendwa wenzangu lakini nahisi sikufanikiwa
ila imekuja kutokea nikaonana na mwanamke ambaye anasali roman catholic na tumependana sana japo sikutarajia wala sikua na plan yoyote ya kumwoa
naomba ushauri kwa yafuatayo:
kama nikioa mtu ambaye hajaokoka je nitaathirika kiroho?
je naweza kumuudhi mungu kwa hilo?
je maisha yetu huko mbele ya safari yatafika mbali?
je anaweza kuathiri wokovu wangu?
je naweza kwenda mbinguni?
je unafikiri naweza kumshawishi huko mbele ya safari akaokoka?
hivi huyu mungu wa helufi ndogo ni yupi? mbona mimi simfahamu au ulimaanisha Mungu?ni sawa mkuu huyo dada sidhani kama hana hofu ya mungu. okey kama unawasiwasi piga goti kwa mungu muulize huyu ndiye mke wangua kwa imani yako nadhani mungu atakupa jibu.
napata mashaka kidogo kama we ni mlokole kweli uliyesimama katika neno sawa sawa, nadhani huwa mnaamini mke /mume hutoka kwa mungu basi yawezekana wewe hukumwomba mungu wakati unamtafuta huyo binti.
pili mawazo ya mwanadamu si ya mungu mrudie mungu wako anza upya na bwana katika uhusiano wako huu uone jibu la mungu ni lipi. akisema endelea fanya hivyo akisema mwache fanya ivyo katika bwana.
hivi huyu mungu wa helufi ndogo ni yupi? mbona mimi simfahamu au ulimaanisha Mungu?
Ni mungu wa dunia hii ambaye ni Shetani na Ibilisi. Mungu wa herufi kubwa ndiye Mungu wa kweli aliyeumba mbingu na nchi.
Mkuu, Mwalimu Mwakasege hajasoma?
Mkuu wangu nachotaka kusema hapa ni kwamba elimu inakusaidia hata kung'amua mambo madogo madogo...Sasa imagine mtu anasema akimuoa mtu wa dhehebu fulani hata enda mbinguni...? Hivi ni binadamu gani ambaye hatendi dhambi.....Hakika msomi kamwe hawezi sema upuuzi huo..
wapendwa katika bwana
nimetatizwa na kitu hapa,mimi ni mlokole nasali Efatha bible,nimejaribu kuomba na ku connect na baadhi ya wapendwa wenzangu lakini nahisi sikufanikiwa
ila imekuja kutokea nikaonana na mwanamke ambaye anasali roman catholic na tumependana sana japo sikutarajia wala sikua na plan yoyote ya kumwoa
naomba ushauri kwa yafuatayo:
kama nikioa mtu ambaye hajaokoka je nitaathirika kiroho? 1
je naweza kumuudhi mungu kwa hilo? 2
je maisha yetu huko mbele ya safari yatafika mbali? 3
je anaweza kuathiri wokovu wangu? 4
je naweza kwenda mbinguni? 5
je unafikiri naweza kumshawishi huko mbele ya safari akaokoka? 6
Halafu ndugu usijisifie katika kutenda dhambi. Hiuo ni sifa ya Shetani ambaye ni mwasisi wa dhambi. Tena ni ole kwa anayewakosesha watu wa Mungu. Leo utajiona kijogoo. Lakini hatimaye itakuwa ni kilio na kusaga meno. Hujui ni lini unamaliza muda wako ukizingatia kuwa kifo hakuna kanuni. Mtu wa umri wowote aweza kufa wakati wowote. Siyo sifa kuwa jasiri katika dhambi.
hivi ukipanda na daladala na mtu asiye okoka una athilika nini?
kuna tatizo hapa katika sisi walokole ni kwamba tunaamini katika kujitenga kwetu ndio tunamwabudu MUNGU vizuri na watu wengine ni wapuuzi.
tunashindwa kuelewa kuwa watu wote wameokolewa kwa DAMU YA YESU.
tunashindwa kukumbuka kuwa wajibu wa mtu aliyeokoka ni kuwafanya watu wote kuwa wanafunzi wa YESU. bali tunajiona dhamira yetu kuwa wanafunzi wa YESU peke yetu na wengine hawastahili.
japo si mahala pake lakini naimani naelekezwa niyaseme haya. na wengi tutakubaliana imefika wakati walokole hata tukienda magerezani kuwatendelea wafungwa tunaenda kutoa msaada si kwa kadri na shida na mahitaji ya watu bali tunatoa kwa walokole wenzetu tu.
hii ni shida.
back to major topic
kutoka rohoni ningekushauri ni bora usimuoe kwakuwa hofu ya ndoa yako naiyona ipo kwenye uroma wake, huu unaweza kuwa mlango katika kutotulia na ndoa yako kwni hujiamini na kibaya zaidi unaonekana unataka kuingilia uhuru wake wa kuabudu bila kushiriki zaidi katika maombi na roho wa MUNGU akamwongoza.
umeweka shaka kubwa kuhusu imani yake na unaonyesha ubaguzi na hauko tayari kumtayarisha kuwa mnyenyekevu kwa MUNGU akiwa ndani ya dhehebu lake na unaamini kwako ndio kuna wokovu zaidi kwahiyo hii ni shida umekwenda zaidi na akili zako na sio roho anavyokuongoza.
hivyo ingia kwenye maombi upate kibali usije ukarudi hapa ukatusumbua ili hilo gereza la dhehebu linalokuletea hofu liondoke.
pole inawezekana nimeonekana nimekuhukumu lakini halikuwa lengo langu na MUNGU anisamhe kama nimefanya hivyo lakin lengo ni kutoa mawazo ambao pia yanaweza kuleta upana wa uchangiaji.
Angalia msimamo wako juu ya wokovu wako soma warumi 12:2
maandiko yanasema kuwa usifungwe nira na wasioamini, hivyo nawe
jua kuwa wewe ni hekalu la roho mt, hivyo ukijitambua ukoje
utajua namna ya kufanya juu ya jambo hilo. UAMUZI NI WAKO
hivi ukipanda na daladala na mtu asiye okoka una athilika nini?
kuna tatizo hapa katika sisi walokole ni kwamba tunaamini katika kujitenga kwetu ndio tunamwabudu MUNGU vizuri na watu wengine ni wapuuzi.
tunashindwa kuelewa kuwa watu wote wameokolewa kwa DAMU YA YESU.
tunashindwa kukumbuka kuwa wajibu wa mtu aliyeokoka ni kuwafanya watu wote kuwa wanafunzi wa YESU. bali tunajiona dhamira yetu kuwa wanafunzi wa YESU peke yetu na wengine hawastahili.
japo si mahala pake lakini naimani naelekezwa niyaseme haya. na wengi tutakubaliana imefika wakati walokole hata tukienda magerezani kuwatendelea wafungwa tunaenda kutoa msaada si kwa kadri na shida na mahitaji ya watu bali tunatoa kwa walokole wenzetu tu.
hii ni shida.
back to major topic
kutoka rohoni ningekushauri ni bora usimuoe kwakuwa hofu ya ndoa yako naiyona ipo kwenye uroma wake, huu unaweza kuwa mlango katika kutotulia na ndoa yako kwni hujiamini na kibaya zaidi unaonekana unataka kuingilia uhuru wake wa kuabudu bila kushiriki zaidi katika maombi na roho wa MUNGU akamwongoza.
umeweka shaka kubwa kuhusu imani yake na unaonyesha ubaguzi na hauko tayari kumtayarisha kuwa mnyenyekevu kwa MUNGU akiwa ndani ya dhehebu lake na unaamini kwako ndio kuna wokovu zaidi kwahiyo hii ni shida umekwenda zaidi na akili zako na sio roho anavyokuongoza.
hivyo ingia kwenye maombi upate kibali usije ukarudi hapa ukatusumbua ili hilo gereza la dhehebu linalokuletea hofu liondoke.
pole inawezekana nimeonekana nimekuhukumu lakini halikuwa lengo langu na MUNGU anisamhe kama nimefanya hivyo lakin lengo ni kutoa mawazo ambao pia yanaweza kuleta upana wa uchangiaji.
naomba nikujibu kama ifutavyowapendwa katika bwana
nimetatizwa na kitu hapa,mimi ni mlokole nasali Efatha bible,nimejaribu kuomba na ku connect na baadhi ya wapendwa wenzangu lakini nahisi sikufanikiwa
ila imekuja kutokea nikaonana na mwanamke ambaye anasali roman catholic na tumependana sana japo sikutarajia wala sikua na plan yoyote ya kumwoa
naomba ushauri kwa yafuatayo:
kama nikioa mtu ambaye hajaokoka je nitaathirika kiroho?
je naweza kumuudhi mungu kwa hilo?
je maisha yetu huko mbele ya safari yatafika mbali?
je anaweza kuathiri wokovu wangu?
je naweza kwenda mbinguni?
je unafikiri naweza kumshawishi huko mbele ya safari akaokoka?
mi naamini ungeweza kupeleka hizo hoja kwa wasimamizi wako wa kiroho ingekuwa vema zaidi, kuliko kuzileta hapa, mahala ambapo shetani anapatawala kwa zaidi ya asilimia 90...(taking into consideration mitusi inayomwagwa hapa daily),.....pia, kwa jibu la swali kuwa endapo utaenda mbinguni..i guarantee you, even mwingira cant tell u that, and if he does, atakuwa ametenda dhambi ya uongo...kama unaijua biblia, utakuwa umepitia maneno ya Mungu ambayo watu kwa namna nyingi wamekuwa wakiifafanua tofauti kwa mitazamo tofauti yenye mlengo wa kupotosha, kukataza ama kutawala watu...wapo waliotafsiri baadhi ya maneno ya Bible kuwa yanatutaka tusifungamane na watu wasioamini...ila jiulize, Yesu alipokuja, alifungamana na watu wa aina gani?, je alihangaika na watu gani....Maria magdalene alikuwa mwanamke wa aina gani??, Lazaro alikuwa mtu yupi??.....Pia jiulize, wakati wa NUHU, ni yeye pekee ndiye alikuwa mwaminifu kwa Mungu, hatukuelezwa habari ya wanawe wala wakwe zake...lakini wakwe za Nuhu waliokolewa kwa imani ya Nuhu na uaminifu wa Nuhu kwa Mungu......kiufupi, Imani yako kwa Mungu, inaweza kuwa chachu ya wokovu kwa mtu utayefungamana naye.....Wakristo wote, ilimradi tunamkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa Maisha yetu, na kuwa alikufa kwa ajili ya dhambi zetu, akafufuka, akapaa mbinguni, na atarudi tena kuhukumu.....basi wote tu sawa, tunatofautiana mitazamo ambayo imewekwa na binadamu kwa milengo tofauti tofauti......