Mimi ni Mlokole nataka kuoa Mroma

Mimi ni Mlokole nataka kuoa Mroma

wapendwa katika bwana
nimetatizwa na kitu hapa,mimi ni mlokole nasali Efatha bible,nimejaribu kuomba na ku connect na baadhi ya wapendwa wenzangu lakini nahisi sikufanikiwa
ila imekuja kutokea nikaonana na mwanamke ambaye anasali roman catholic na tumependana sana japo sikutarajia wala sikua na plan yoyote ya kumwoa
naomba ushauri kwa yafuatayo:
kama nikioa mtu ambaye hajaokoka je nitaathirika kiroho?
je naweza kumuudhi mungu kwa hilo?
je maisha yetu huko mbele ya safari yatafika mbali?
je anaweza kuathiri wokovu wangu?
je naweza kwenda mbinguni?
je unafikiri naweza kumshawishi huko mbele ya safari akaokoka?

Hivi wewe unasoma Biblia kweli?
 
Wacha ubaguzi wa kidini!!
 
NiMESOMA COMMENT ZOTE USIKU KUCHA,NYINGINE NITAZIFANYIA KAZI NYINGINE NITAZIPUUZA,asanteni!
 
:amen:
da mkuu umeongea vizuri mpka natamani kurudia kusoma tena na tena!
HILI JICHO PANA HIVI KIIMANI TUNGEKUWA NALO WOTE HAKIKA DUNIA INGEKUWA MAHALA SALAMA SANA PA KUISHI!
mi mwenyewe mekupenda bure kama kina Kaunga na Kaizer
asant kiukweli mi uwa najiandikia namsukuru MUNGU kwa kupokea kwenu na kunitia moyo wote
 
Hekima ya Mungu ni ubaguzi maana fulani hasali sehemu fulani...Maajabu haya....Hebu niambie Yesu(Mungu) hatukumchagua sisi ila yeye alituchagua sisi bila ubaguzi, je alikuja duniani kwa ajili ya watu fulani...?

Ubaguzi ndo Yesu alituachia... ?....Kweli sasa nimeamini Upendo wa Agape ullikuwa kwa Yesu pekee.....
Una-propagate dhambi ya ubaguzi kwa kisingizio cha kuongozwa na Roho...

Pathetic Fool..

I may be a fool to you, asante kwa hilo. Lakini kwa mwenye hekima ya Mungu, ushauri nilioutoa unaenenda sawa sawa na maandiko. Ushauri wangu ni rahidi tu, mtangulize Mungu katika kila jambo.

Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, wala usizitegemee akili zako mwenyewe.
Katika njia zako zote mkiri yeye, naye atayanyosha mapito yako.
Usiwe mwenye hekima machoni pako; mche BWANA, ukajiepushe na uovu.
Itakuwa afya mwilini pako, na mafuta mifupani mwako.
~ Mithali 3:5-8
 
nilimaanisha MUNGU samahani mkuu sikujua kama ukiandika herufi ndogo inaleta maana nyingine.
 
mkuu episodes, kwanza nakushauri ungeomba ushauri kwa kiongozi wako wa dini , pili kwa mtazamo wangu wote nyie ni wa wakristo kwa hiyo sion kama ni tatizo waweza kumtengeneza kama kweli mmependana sidhani kama kuna mtu yeyote asiyempenda MUNGU,
 
wapendwa katika bwana
nimetatizwa na kitu hapa,mimi ni mlokole nasali Efatha bible,nimejaribu kuomba na ku connect na baadhi ya wapendwa wenzangu lakini nahisi sikufanikiwa
ila imekuja kutokea nikaonana na mwanamke ambaye anasali roman catholic na tumependana sana japo sikutarajia wala sikua na plan yoyote ya kumwoa
naomba ushauri kwa yafuatayo:
kama nikioa mtu ambaye hajaokoka je nitaathirika kiroho?
je naweza kumuudhi mungu kwa hilo?
je maisha yetu huko mbele ya safari yatafika mbali?
je anaweza kuathiri wokovu wangu?
je naweza kwenda mbinguni?
je unafikiri naweza kumshawishi huko mbele ya safari akaokoka?

Mungu ni nuru wala giza halimo ndani yake, mtu ambaye ameokoka ni nuru na mtu ambaye hajaokoka ni giza, je nuru na giza vinaweza kukaa pamoja.

ukimwoa huyu utakuwa unamuuzi Mungu maana umeambiwa usifungiwe nira na asiyeamini, haa Israel walipooa watu wasio wa kwao Mungu aliagiza ikiwa wanataka awasamehe wawaache wananwake hao na watoto hao wanede na mama zao. lakini leo ukioa hakuna kumwacha, Biblia inasema, huyo atakuwa fimbo mbavuni mwako yaani kila sikua atakukosesha kuyatenda mapenzi ya Mungu. Mtu ambaye hajaokoka, kuwa na mwanaume nje ya ndoa kwake sio kitu cha ajabu je utakubali na hilo? je chui unaweza kumfuga pamoja na kondoo/mbuzi katika zizi moja na mbuzi/kondoo wakabaki salama?

kiufupi ukimuoa huyo, hata wokovu wako utakuwa shakani wala uhakika wa kuingia mbinguni utakuwa mdogo sana, kwasababu kila siku yeye atafanya yanayokuuzi wakati unatakiwa kuwa na amani naye WAEBRANIA 12.14. Kumbuka Yesu aliishi na Yuda Iskariote, akamhubiri usiku na mchana zaidi ya miaka 3 lkn Yuda hakuacha wizi wa fedha za sadaka na mwisho wake alimuuza Yesu kwa vipande vya fedha 30? je uko tayari kuuzwa, mana mwenzio akimpata mwenye hela kuliko ww sio ajabu kuwa na mahusiano naye?

Biblia inasema msiwe wajinga tumieni akili ipasavyo.
 
hivi ukipanda na daladala na mtu asiye okoka una athilika nini?
kuna tatizo hapa katika sisi walokole ni kwamba tunaamini katika kujitenga kwetu ndio tunamwabudu MUNGU vizuri na watu wengine ni wapuuzi.
tunashindwa kuelewa kuwa watu wote wameokolewa kwa DAMU YA YESU.
tunashindwa kukumbuka kuwa wajibu wa mtu aliyeokoka ni kuwafanya watu wote kuwa wanafunzi wa YESU. bali tunajiona dhamira yetu kuwa wanafunzi wa YESU peke yetu na wengine hawastahili.
japo si mahala pake lakini naimani naelekezwa niyaseme haya. na wengi tutakubaliana imefika wakati walokole hata tukienda magerezani kuwatendelea wafungwa tunaenda kutoa msaada si kwa kadri na shida na mahitaji ya watu bali tunatoa kwa walokole wenzetu tu.
hii ni shida.
back to major topic
kutoka rohoni ningekushauri ni bora usimuoe kwakuwa hofu ya ndoa yako naiyona ipo kwenye uroma wake, huu unaweza kuwa mlango katika kutotulia na ndoa yako kwni hujiamini na kibaya zaidi unaonekana unataka kuingilia uhuru wake wa kuabudu bila kushiriki zaidi katika maombi na roho wa MUNGU akamwongoza.
umeweka shaka kubwa kuhusu imani yake na unaonyesha ubaguzi na hauko tayari kumtayarisha kuwa mnyenyekevu kwa MUNGU akiwa ndani ya dhehebu lake na unaamini kwako ndio kuna wokovu zaidi kwahiyo hii ni shida umekwenda zaidi na akili zako na sio roho anavyokuongoza.
hivyo ingia kwenye maombi upate kibali usije ukarudi hapa ukatusumbua ili hilo gereza la dhehebu linalokuletea hofu liondoke.
pole inawezekana nimeonekana nimekuhukumu lakini halikuwa lengo langu na MUNGU anisamhe kama nimefanya hivyo lakin lengo ni kutoa mawazo ambao pia yanaweza kuleta upana wa uchangiaji.

Hawa jamaa wanajiita walokole they are too low in reasoning and associating with others... hujiona wao bora sana
 
Hapo kwenye red.....

Huu ndo ushetani nambario moja...Huyu Yesu ninaye muabudu hakuna mahali ansema nisifungamane na wasio amini...Hivi nikuulize swali wewe mwana mtoka kuzimu Yesu alikuja kwa ajili ya wenye dhambi au watu wote...? Je Yesu alifungamamana na watu gani...Wema au waouvu....Wewe ndo ibilisi nambari moja na Mfarisayo ambaye Yesu alipata shida sana na nyiynyi watu...

Halafu huo mstari ulio u-quote nafikiri unapatikana kwenye kitabu cha Waroma....Sasa kabla ya kuonesha upumbavu wako jaribu kupitia hya mambo yafuatayo...
.Waroma walikuwa waatu gani....?
Kwaninin Mt. Paulo aliwandikia barua hiyo Waroma...
Jiografia ya Waroma katika kipindi hicho....

Usisome Biblia kwa kukurupuka ndugu HAo Wachungaji wenu makanjaja wamewajaza sumu....

Je wewe kweli unamwabudu Yesu wa kweli? Yesu gani anayekufanya utukane watu? au matusi Yesu wako ameruhusu? nikupe pole sana! ila mwenye busara angeuliza ulikuwa una maana gani kusema usifungiwe nira pamoja na wasio amini then baada ya ufafanuzi ndo ungeanza kutukana! ningependa pia kujua level ya elimu yako maana nisije kuwa naongea kati ya mbingu na nchi!
 
This is y i hate religion but ilove jesus..calling others blind doest mean tht u got a clear vision..nyinyi walokole hvi kuokoka ndo kusalia uko kwenye hayo makanisa yenu??alokwambia waroma awajaokoka ninani?unauahakika baaada ya kuokoka kwako utendi dhambi?ama ndo painting a grave wakati ndani kumeoza?mwenye mamlako ya kuhukumu ni mungu tu..acheni hizo ..

Nimekupenda sana, nimeshindwa kulike mara 100! Huwa nawashangaa sana hawa ndugu zetu, yaani wengi wao huwa wanawatazama Wakatoliki kama watu waliopotea sanaaa! Huwa nawauliza hilo swali kwamba 'ukiokoka ndo hutendi dhambi kabisa?' Nadhani watu wengi hawajui maana ya wokovu!!!
 
I may be a fool to you, asante kwa hilo. Lakini kwa mwenye hekima ya Mungu, ushauri nilioutoa unaenenda sawa sawa na maandiko. Ushauri wangu ni rahidi tu, mtangulize Mungu katika kila jambo.

Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, wala usizitegemee akili zako mwenyewe.
Katika njia zako zote mkiri yeye, naye atayanyosha mapito yako.
Usiwe mwenye hekima machoni pako; mche BWANA, ukajiepushe na uovu.
Itakuwa afya mwilini pako, na mafuta mifupani mwako.
~ Mithali 3:5-8

mkuu nyenyere huyu jamaa tedo anasema anamwamini Yesu then anatukana watu name pia ni mhanga wa matusi yake. natamani ningemfundisha haya mambo lakini inaonekana ni roho nyingine hii. Maana mimi nimesema maandiko yanasema msifungiwe nira pamoja na wasio amini bana wee jamaa kaja kama moto wa kifuu hata bila kuuliza nini maana ya andiko hilo! msamehe bure tu.
 
Bado unaruka ruka kama kuku anaye taka kutaga...Binadamu tumeumbwa na Mungu takatofautishwa na viumbe wengine...Tumepewa utshi na akili ya kung'amua mambo mbali mbali....Ndio maana wewe ni tofauti na mbwa...Sasa naanza kuamini akili zako hazina tofauti na mbwa maana umezificha uvunguni....

Hebu nikuulize swali wewe mwana mtoka kuzimu....Mfano nchi imeweka sheria kuwa kufanya mapenzi na mtoto wa miaka sita mpaka 18,utakuwa umetenda kosa la kubaka na adhabu yake ni miaka 30 jela......-------- kama wewe atakuja kuniuliza je! Nikilala na mtoto wa miaka mitano nitakuwa nimebaka.....? Pathetic fool....Unataka kila kitu uandikiwe...Wakati mambo mengine unatakiwa kutumia akili.....?

Sasa nijibu hili swali lingine Je! Yesu alikuja duniani kwa ubaguzi...? Alikuja duniani kwa ajili ya watu wote...?

Usitake kuni-quotia mistari mingi ya Biblia wakati unashindwa kung'amua mambio madogo....Napata shaka na uelewa wakop wa mabo we kilaza..
 
Wangekuwa na Elimu ya aina gani? Kuna maprofessor, Madoctor, MD wengi, je wanapungukiwa na nini?
Unajua mkuu katika watu ambao huwa nawadharau kwa kiasi kikubwa ni Walokole...Hawa watu ni waajabu sana....Lakini nilichogundua ni kuwa hawa viumbe wa ajabu kichwani ni watupu mno..Wangekuwa na elimu ingewakomboa angalau...
 
Hivi tunaambiwa tusifungiwe nira na wasio Amini, Je hao ambao hawaamini, hawaamini nini? Nimesikia mitafuruku ya matumizi ya hili neno kati ya wapentecoste, wapentecoste na vikundi vya waliokoka (CCT fellowships + Charismatic Fellowship) nk. Naomba mtizamo mpana wa WASIO AMINI.Ahsante
mkuu nyenyere huyu jamaa tedo anasema anamwamini Yesu then anatukana watu name pia ni mhanga wa matusi yake. natamani ningemfundisha haya mambo lakini inaonekana ni roho nyingine hii. Maana mimi nimesema maandiko yanasema msifungiwe nira pamoja na wasio amini bana wee jamaa kaja kama moto wa kifuu hata bila kuuliza nini maana ya andiko hilo! msamehe bure tu.
 
wapendwa katika bwana
nimetatizwa na kitu hapa,mimi ni mlokole nasali Efatha bible,nimejaribu kuomba na ku connect na baadhi ya wapendwa wenzangu lakini nahisi sikufanikiwa
ila imekuja kutokea nikaonana na mwanamke ambaye anasali roman catholic na tumependana sana japo sikutarajia wala sikua na plan yoyote ya kumwoa
naomba ushauri kwa yafuatayo:
kama nikioa mtu ambaye hajaokoka je nitaathirika kiroho?
je naweza kumuudhi mungu kwa hilo?
je maisha yetu huko mbele ya safari yatafika mbali?
je anaweza kuathiri wokovu wangu?
je naweza kwenda mbinguni?
je unafikiri naweza kumshawishi huko mbele ya safari akaokoka?
  1. hivi we nani kakuambia mapenzi yanachagua dini??
  2. ulisikia yeye ni ibilisi mpaka akuathiri kiroho?
  3. nani kakuambia Mungu anataka watu wa dhehebu moja tu ndo waoane?imeandikwa wap?
  4. kwanini aathiri wokovu wako kwani roman catholic wanaabudu shetani?
  5. matendo mema ndio yatakayokupeleka mbinguni si dini wala mtu.
  6. yeye alikuambia hamjui yesu mpaka umshawishi aokoke?
 
Wangekuwa na Elimu ya aina gani? Kuna maprofessor, Madoctor, MD wengi, je wanapungukiwa na nini?
Unaweza ukawa na Elimu hizo ulizotaja lakini ukawa bado hujaelimika...Ukawa bado upo kwenye ombwe la ujinga na fikra finyu.....Elimu ninayo iongelea hapa ni Elimu ya darasani ambayo inamtoa mtu katika ombwe la ujinga, ambayo inafungua akili ya mtu katika kuishi na watu vizuri, wachilia mbali tofauti za kidini, kiimani au kimtazamo.....Hakika kama utakosa yote haya utakuwa ni mtu wa ugomvi kila siku na chuki za kipu.mba.vu....Huwezi ukawa una elimu halafu unatetea utengamano kwa kisingizio cha dini.....Eti imeandikwa usichangamane na wasioamini....Ni Yesu gani huyo anayesema usichangamane na wasio amini....? Nyinyi watu nani kawalogaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom