ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
mm ni nduguye wa damu
ni sisi ni matwins
hvyo usishangae sana rafiki,
bora umejisemea ili nikwambie tukoje, una lingine la kusema?
ni sisi ni matwins
hvyo usishangae sana rafiki,
bora umejisemea ili nikwambie tukoje, una lingine la kusema?
Kwa avatar nilifikiri EMT nilivyosoma post ilibidi nihakikishe kuwa huyu kweli ni EMT ninaye mfahamu ndipo nilipogundua sio. Thank God