Duh..hapa ndio haya mambo yanapokuaga magumu...ila ndio hivyo sometimes huwa hayana formula...unaweza kuyapeleka peleka tu yakaenda vizur tuOk, kama mmekubaliana kuhusu imani sioni tatizo kwa upande huo.
Kwa upande wangu ningepata shida sana na hayo mahusiano ya mama wa Ex na mchumba wako, lakini pia ukaribu wa baba na mtoto, manake kuna ukaribu na Ex wake, Mimi kama Renegade sipendi kuoa mwanamke aliyezaa na mtu mwingine, kwa kuwa najua kuwa kutakuwa na connection ya kudumu na ex wake, wakati wote kwenye tatizo la mtoto lazima watakuwa pamoja, hivyo ni kama kuwa na mke mwenye waume wawili, that is how i feel,Nakumbuka hata wazee waliwahi kuniambia juu ya jambo hili.
namwona ni mwanamke mnyenyekevu sana KULIKO WENGI NILIOKUTANA NAO MAKANISANI
Tatizo la walikole ndio hili..kujifanya wao ni watakatifu na mbinguni ni kwao..ss km kwa style hii ya ubaguzi mbinguni mtafika.??? Umejihakikishiaje au kwa kujifanya umeokoka huku unabagua..yesu mwenyewe aliwapenda wabaya kwa wema..tena wale wabaya aliwapenda zaidi ili apate kuwakomboa na waweze kumpenda muumba..iweje nyinyi mnaoabudu/kutumikia kina mwingira mjione boora....maana ukiuliza unasali wapi..nasali kwa mwingira. .kwa rwakatale..kwa mzee wa upako..fungukeni enyi misukule mnatumiwa bila kujijua..KANISA NI MOJA TU NALO NI LA YESU KRISTO...sasa kanisa la fulani fulani..ndo ushetani wenyewe pendaneni muache kubagua wakristo wenzenu..mm nawapenda sana wasabato huwa wanaishi maisha yao..hawakebehi wenzao...hawadharau..hawakulazimishi uwafate km hizi dhehebu za kibiashara zinavyofanya kuutwa
kuhusu kumwoa tumeongea sana na yupo tayari,mahusiano alikuwa nayo kwa sababu ana mtoto mmoja na hawajawahi kuishi pamoja,kuhusu usumbufu mbele ya safari nahisi ndugu inaweza kuwa hivyo lakini namwona ni mwanamke mnyenyekevu sana kuliko wengi niliokutana nao makanisani
kumbe walokole hamna kitu,ndomana mapepo hayawaishi kila kukicha. nimejifunza kitu.
hili ni swali la kipumbavu na unaonyesha hujakomaa kiiimani ,unatuuliza sisi wakati wenyewe hatujui kama hata tutanusa harufu ya huko!!je naweza kwenda mbinguni?
Mkuu nahisi unaelewa sana kinachonitatiza
kuhusu baba wa mtoto walishamalizana kwani alishaoa mwanamke mwingine,lakini ana uhusiano wa karibu na yule bibi wa mtoto wake yaani mama wa x wake
kuhusu mtoto atabakia na uhusiano na baba yake kwani hata sasa hivi wana uhusiano mzuri
kuhusu imani yupo tayari kunifata kwa ,Mwingira
hivi ukipanda na daladala na mtu asiye okoka una athilika nini?
kuna tatizo hapa katika sisi walokole ni kwamba tunaamini katika kujitenga kwetu ndio tunamwabudu MUNGU vizuri na watu wengine ni wapuuzi.
tunashindwa kuelewa kuwa watu wote wameokolewa kwa DAMU YA YESU.
tunashindwa kukumbuka kuwa wajibu wa mtu aliyeokoka ni kuwafanya watu wote kuwa wanafunzi wa YESU. bali tunajiona dhamira yetu kuwa wanafunzi wa YESU peke yetu na wengine hawastahili.
japo si mahala pake lakini naimani naelekezwa niyaseme haya. na wengi tutakubaliana imefika wakati walokole hata tukienda magerezani kuwatendelea wafungwa tunaenda kutoa msaada si kwa kadri na shida na mahitaji ya watu bali tunatoa kwa walokole wenzetu tu.
hii ni shida.
Uongo uongo nimekula walokole kibao, wote nimekuta usedmke mwema anatoka kwa bwana, ayo ni madhehebu tu mungu ni mmoja. ila kwa kuwa wewe mlokole unajitambulisha inabidi upate kitu kipya ambacho hakijaliwa ili ukiombee kabla ya kukifumua.
Uongo uongo nimekula walokole kibao, wote nimekuta used
Uongo uongo nimekula walokole kibao, wote nimekuta used
Uongo uongo nimekula walokole kibao, wote nimekuta used
Acha kuskiliza conspiracy theories.Papa gani kamuua nani? hizo attacks tunazijua sanaa...Yesu aliacha organised hierachy mapemaa maana alijua tu kutakuwa na migogoro tu....akamweka peter kama leading figure..kukawa na succession hadi leo unaona papa, makadinali, maaskofu na mapadri..acheni kujidanganya na conspiracy theories ukristo halisi ni ukatoliki na unaendelea kuwa persecuted kutoka kila angle...Acha kujidanganya. Ingekuwa hivyo mapapa wasingewauwa mitume wa Bwana Yesu.