Ambaye amewahi kupona tatizo la nguvu za kiume, tunaomba msaada kujua aliponaje

Graxsam

Member
Sep 23, 2021
74
69
Wadau kwa yeyote ambae amewahi kupona tatizo la nguvu za kiume, tunaomba msaada aliponaje au alitumia dawa gani had akapona kiufupi mimi nimeathirika na punyeto ila nishaacha baada ya kuona matatizo hivyo naomba msaada uume unasimama legelege pia unawahi kulala natanguliza shukrani.
 
Maneno ya wazungu
Screenshot_20220924-095513.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wadau kwa yeyote ambae amewahi kupona tatizo la nguvu za kiume, tunaomba msaada aliponaje au alitumia dawa gani had akapona kiufupi mimi nimeathirika na punyeto ila nishaacha baada ya kuona matatizo hivyo naomba msaada uume unasimama legelege pia unawahi kulala natanguliza shukrani.
Weka dozi ya kutafuta tangawizi na vitunguu swaum punje tatu asubuhi kabla hujala chochote na usiku wakati wa kulala kwa muda wa mwezi mzima utaleta majibu. Lakini pia piga tizi na uache huo mchezo
 
Pole mkuu chukua tangawiz mbch ,vtunguu saum usage pamoja alaf uchukue asal mbchi umix lkn hakksha asal inakuwa mara 2 ya huo mchanganyiko mfn tngwz na vtunguu n vjko 20 bas asal iwe vjko 40 koroga vzr tumia kulamba asbh vjko 3 mchana na jioni kwa sku 14 ....21 ktegemea tatzo lko lna muda gn
 
Back
Top Bottom