Msaada: Nina tatizo la Thyroids, nguvu za kiume zimepotea kabisa sina hamu ya kufanya mapenzi

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
2,780
2,716
Habari wakuu msaada wenu tafdhali,

Nimekuwa na tatizo la thyroids miez 7 sasa niko katika dozi. Hali imepekea kupungua sana kwa nguvu za kiume yaani shemeji yenu nikimuandaa hali uume haujasimama.

Uume ukisimama ukiingia ukeni pampu nne imelaliemo uume unalala ndani ya uke.
 
Habar wakuu msaada wenu tafdhali

Nimekua na tatizo la thyroids miez 7 sasa Niko ktk dozi....Hali imepekea kupungua sana kwa nguvu za kiume yaan shemeji yeni nkimuandaa Hali uume haujasimama ....

Uume ukisimama ukiingia ukeni pampu nne imelaliemo uume unalala ndani ya uke
Pole mkuu... Ilo tatizo ulilonalo ndio husababisha io hali kutokana na kuwepo kwa hormonal imbalance... Endelea na matibabu yako, utakapo tibika ukakaa sawa basi na io hali itaisha..
Ni vizuri pia kuongea na kupata ushauri kutoka kwa daktari wako,
jiandae kisaikolojia pia umjulishe mkeo juu ya sababu zinazopelekea kuwa na io hali...
 
Una comment nzuri aseee ☺️☺️☺️☺️☺️🤗
 
Pole mkuu... Ilo tatizo ulilonalo ndio husababisha io hali kutokana na kuwepo kwa hormonal imbalance... Endelea na matibabu yako, utakapo tibika ukakaa sawa basi na io hali itaisha..
Ni vizuri pia kuongea na kupata ushauri kutoka kwa daktari wako,
jiandae kisaikolojia pia umjulishe mkeo juu ya sababu zinazopelekea kuwa na io hali...
Kwani thyroids huwq inatibika? Mbona hormones miez miwili iliyopita nilipima zilikaa sawa ila Bado shida ikawepo
 
It is manageable .. Au upo kwenye treatment za aina gani mkuu?.. Ulipopata huduma hospitali uliambiwaje? Kwasababu ninavojua hyperthyroidism au hypothyroidism inasababisha io hali isipokuwa treated..
Nilikua namumivu makali upande wakulia washingo joto Kali siwezi kulala mapigo yamoyo mwenda mbio kusweti..nlivoenda MNH nkachekiwa nkakutwa hormones ya t3 Iko high na tsh Iko below nkaambiwa nna hyperthyroidism..nkapewa dawa carbimazole nkatumia miez mitatu ...baada ya miez3
kuja kupima Tena MNH nkakuta t3,t4 ziko normal ila TSH Iko high Iko nkaambiwa dawa zimenirudisha to hypothyroidism ....so nkapunguziwa dozi nkatumia baada ya miez miwili kuja kupima TSH,t3,t4 zote zikaja normal ndo tangu nimepima imepita miez 2 nasiku15
Ila Hali ya kukosa nguvu imekuepo kipindi chote Kuna wakati nafanikiwa sex vizir wakati mwingne nafeli kabisa nahamu imekua Sina ya sex naweza kaa wiki3 nkasex mara moja Tena kwakusua sua sana inasimama ikiwa ukeni ilala
 
Habar wakuu msaada wenu tafdhali

Nimekua na tatizo la thyroids miez 7 sasa Niko ktk dozi....Hali imepekea kupungua sana kwa nguvu za kiume yaan shemeji yeni nkimuandaa Hali uume haujasimama ....

Uume ukisimama ukiingia ukeni pampu nne imelaliemo uume unalala ndani ya uke
Hongera sana,, sasa Fanya mambo mengine ya msingi achana na papuchi
 
Habar wakuu msaada wenu tafdhali

Nimekua na tatizo la thyroids miez 7 sasa Niko ktk dozi....Hali imepekea kupungua sana kwa nguvu za kiume yaan shemeji yeni nkimuandaa Hali uume haujasimama ....

Uume ukisimama ukiingia ukeni pampu nne imelaliemo uume unalala ndani ya uke

Punguza mawazo kuhusu huo ugonjwa utarudi sawa
 
Back
Top Bottom