kaffir
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 595
- 390
Dh we mshabik wa nyegezi?Tuimbe "Nyegezi".
Dh we mshabik wa nyegezi?Tuimbe "Nyegezi".
Katika ziara mbali mbali za viongozi si jambo geni kukuta waheshimiwa wanatoa pesa kwa kutambua michango ya mashujaa wa nchi...
Mfano leo mzee mapunda kapata mil10...
Hoja yangu Mwl wa darasa la1 wa waheshimiwa Rais magufuli,kikwete,mkapa na nyerere wamepewa nn?
Kwann lakini sisi hatukumbukwiii hii si sawa jamani....[/QUOTEHukiwa teacher hakikisha unafungua na inaenda vizuri hakikisha watito wako wanasoma Shule nzuri ( nafurahi walimu wengi wanafanya hill) na mitoto ya watanzania akitaka aandike akitaka aache kinyume na hapo utaumia kichwa
Uliona wapi mwalimu akathaminiwa duniani? Hata USA mwalimu hana hadhi, wewe fundisha watoto then pambana na hali yako, mimi nimemaliza ualimu 1998 lakini nikiyoyakuta kwenye ualimu, nikakata shauri sitakubali kufanya kazi ya ualimu wa kulipwa.Katika ziara mbali mbali za viongozi si jambo geni kukuta waheshimiwa wanatoa pesa kwa kutambua michango ya mashujaa wa nchi...
Mfano leo mzee mapunda kapata mil10...
Hoja yangu Mwl wa darasa la1 wa waheshimiwa Rais magufuli,kikwete,mkapa na nyerere wamepewa nn?
Kwann lakini sisi hatukumbukwiii hii si sawa jamani....
Sasa mwalimu hata kuandika tu ni shida.
Sisaminiwi?ulimaanisha nini hapo?
Unafundisha somo gani mwalimu?