T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,096
- 4,578
[emoji23] [emoji23]Na hpo utakuta kanyoa kiduku alafu amevaa kamatia chini ndio maana saiv Elimu wanayowapa watoto wetu ni ya Mobeto na akina Diamond
[emoji23] [emoji23]Na hpo utakuta kanyoa kiduku alafu amevaa kamatia chini ndio maana saiv Elimu wanayowapa watoto wetu ni ya Mobeto na akina Diamond
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwalimu kuandika neno shoga unaweza sana ila kuandika sithaminiwi umeshindwa, kweli Chama Handusi ndio imeleta yote haya
Kwa heri Elimu.Sasa mwalimu hata kuandika tu ni shida.
Sisaminiwi?ulimaanisha nini hapo?
Unafundisha somo gani mwalimu?
Dah nyie watu mnakera kweli, utafikiri mnafanya kazi ya hisani au ndio watu wenye shida kuliko wote nchi hii
Kuna watu hawana ajira, kuna wakulima wanaosota na kupata hasara, kuna madereva makonda wanaosota kila siku kwenye daladala, kuna watu wengi sana wana tabu kuliko nyie walimu na wanalipwa mshahara mdogo sana.
Ila mnalalamika utadhani ndio mnaofanya kazi ngumu kuliko wote
Wewe mwenyewe unajithamini????Kwa aina ya uhandishi na kama umepata muda wa kuangalia mapokezi ya ndege ndio maana uthaminiwi.!!Waliokuwa walimu wote waliongeza elimu yao na kujikwamua/kuthaminiwa na jamii.
Ukiwa mwalimu watu wanakaa wakingoja utafeli wapi???Baba wa taifa alianzia ualimu baadae akajitoa,ualimu ni field ya kufanyia stepping stone na sio kustick hapo maisha yako yote!!!HAKUNA ATAKAYEKUTHAMINI
Sasa mwalimu hata kuandika tu ni shida.
Sisaminiwi?ulimaanisha nini hapo?
Unafundisha somo gani mwalimu?
Alie kutuma uibe kura kamlaumu sisi hatuhusikiKatika ziara mbali mbali za viongozi si jambo geni kukuta waheshimiwa wanatoa pesa kwa kutambua michango ya mashujaa wa nchi...
Mfano leo mzee mapunda kapata mil10...
Hoja yangu Mwl wa darasa la1 wa waheshimiwa Rais magufuli,kikwete,mkapa na nyerere wamepewa nn?
Kwann lakini sisi hatukumbukwiii hii si sawa jamani....
Yaani ni shida mkuu Kiswahili kinakufa. Sijui tuwafanye nini hawa waharibifu.Walimu wa sasa, wengi wao wanatamka Bizaa badala ya Bidhaa, Feza badala ya Fedha, Baazi badala ya Baadhi,
Fezea badala ya Fedheha
Kwa ujumla jamii sasa hivi imechanganyikiwa katika matamshi ya tha the thi tho thu.. au dha dhe dhi dho dhu.. TUMEKOSEA WAPI? BAKITA MKO WAPI?