Mimi mwalimu naumia sana kwanini sithaminiwi?

Mimi mwalimu naumia sana kwanini sithaminiwi?

Walimu wa aina hii wamechangia sana kuharibu lugha yetu ya kiswahili..
Hao darasani utawasikia wakiwaambia watoto " Hadisi Hadisi" watoto wanaitikia Hadisi njoo Utamu Kolea..

Haya.. unaona sasa hapa kaandika SISAMINIWI badala ya Sithaminiwi..
Ningekuwa Afisa elimu ningewafuta kazi walimu wote wababaishaji sampuli ya huyu.
 
Nisikudanganye kazi zote ngumu zenye malipo duni ndio zinaitwa za kizalendo kama ualimu na nyinginezo.

Watoto wa wakubwa kwenye hizo kazi kazi za kizalendo huwezi kuwaona, wao watoto wao utawaona BOT,TRA,PPF,NSSF etc.
Kwa hiyo Tufanyeje?
 
Katika ziara mbali mbali za viongozi si jambo geni kukuta waheshimiwa wanatoa pesa kwa kutambua michango ya mashujaa wa nchi...
Mfano leo mzee mapunda kapata mil10...
Hoja yangu Mwl wa darasa la1 wa waheshimiwa Rais magufuli,kikwete,mkapa na nyerere wamepewa nn?
Kwann lakini sisi hatukumbukwiii hii si sawa jamani....
IKIRIRI labda bei ya samani zimekua kubwa kutokana na ongezeko la kodi ndiyo maana husaminiwi. Ungejiorodhesha mapema ungeambulia walau samani hata 1 zile za Makonda
 
Umeniwahi mkuu.
Nimekasirika sana mwl kuandika kiswahili hicho.
Ukweli wa mambo ni kuwa,ingawa nyingibya "comment" hapa zinamponda mwalimu...lakini kizazi hiki cha wanafunzi na walimu wa sasa ni shida sana.
Nilikuwa naangalia madaftari ya watoto wangu...nmeona maajabu sana.
Katika kufuatilia,nilibahatika kukutana na walimu wawili wanaofundosha wanangu,kwa kweli niliumia sana.
Nilianza kujadiliana nao kuhusu maudhui(content) ya wanachowafundisha wanangu....daaahhh roho iliniuma sana...
Hawajui hata hicho wanachokifundisha...yaani kwa lugha rahisi ni kama mkufunzi wa udereva asijue/asiweze kuendesha gari...
Kwa hiyo,ingawa wengi wao wanalalamika kuwa hawathaminiwi...lakini kwa sasa teaching as a profession is no longer NOBLE...
 
Kuna mtu ana PhD huko KUSADIKIKA hajui kutamka UJASIRIAMALI kwa kimombo.
#InjiniaSomaHiyooooo
Hahahahaha! huyo ndo anaweza kuwasamini waalimu na kuwaweka font fej
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hey! Hey! Ndugu zangu mona mnatushambulia Sana Walimu? Mtusamehe kwa makosa ya kiuandishi!!!!! Stress za Maisha mpaka tunakosea kuandika.......! Tunaomba mtuthamini na hizo M 10!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wewe mwenyewe unajithamini????Kwa aina ya uhandishi na kama umepata muda wa kuangalia mapokezi ya ndege ndio maana uthaminiwi.!!Waliokuwa walimu wote waliongeza elimu yao na kujikwamua/kuthaminiwa na jamii.
Ukiwa mwalimu watu wanakaa wakingoja utafeli wapi???Baba wa taifa alianzia ualimu baadae akajitoa,ualimu ni field ya kufanyia stepping stone na sio kustick hapo maisha yako yote!!!HAKUNA ATAKAYEKUTHAMINI
Uhandishi ndio nini?
 
Ukweli wa mambo ni kuwa,ingawa nyingibya "comment" hapa zinamponda mwalimu...lakini kizazi hiki cha wanafunzi na walimu wa sasa ni shida sana.
Nilikuwa naangalia madaftari ya watoto wangu...nmeona maajabu sana.
Katika kufuatilia,nilibahatika kukutana na walimu wawili wanaofundosha wanangu,kwa kweli niliumia sana.
Nilianza kujadiliana nao kuhusu maudhui(content) ya wanachowafundisha wanangu....daaahhh roho iliniuma sana...
Hawajui hata hicho wanachokifundisha...yaani kwa lugha rahisi ni kama mkufunzi wa udereva asijue/asiweze kuendesha gari...
Kwa hiyo,ingawa wengi wao wanalalamika kuwa hawathaminiwi...lakini kwa sasa teaching as a profession is no longer NOBLE...
Something went wrong somehow somewhere and no one seems to look for the real source of this problem.
Thamani ya mwl imo kwenye ufanisi wake ktk kazi.
Nakubaliana nawe kuna walimu hajui wanachokifundisha lkn bado kuna walimu wazuri na wanaojitambua.
Pole kwa matangopori wanayopata watoto wako.
The teaching profession has stopped to be noble because someone somewhere made inapropriate policies and decision making.
 
Kwa akili hii ya matusi na hasira, bora "isisaminiwe" tu, hakuna namna
Mwl ni kioo cha jamii. Kwa matusi haya unaifundisha nini jamii?

Ukweli ni kwamba kiswahili chako kina ukakasi sana na hutaki kujifunza. Je maarifa mapya ya somo lako unajifunza kweli?

Nawaonea huruma wanafunzi wako
 
Back
Top Bottom