Mimi mwalimu naumia sana kwanini sithaminiwi?

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Katika ziara mbali mbali za viongozi si jambo geni kukuta waheshimiwa wanatoa pesa kwa kutambua michango ya mashujaa wa nchi...
Mfano leo mzee mapunda kapata mil10...
Hoja yangu Mwl wa darasa la1 wa waheshimiwa Rais magufuli,kikwete,mkapa na nyerere wamepewa nn?
Kwann lakini sisi hatukumbukwiii hii si sawa jamani....
 
Sasa mwalimu hata kuandika tu ni shida.

Sisaminiwi?ulimaanisha nini hapo?

Unafundisha somo gani mwalimu?
Ujumbe umekufikia kinachokusumbua ni tabia za kishoga za vijana nyie
 
Wewe mwenyewe unajithamini????Kwa aina ya uhandishi na kama umepata muda wa kuangalia mapokezi ya ndege ndio maana uthaminiwi.!!Waliokuwa walimu wote waliongeza elimu yao na kujikwamua/kuthaminiwa na jamii.
Ukiwa mwalimu watu wanakaa wakingoja utafeli wapi???Baba wa taifa alianzia ualimu baadae akajitoa,ualimu ni field ya kufanyia stepping stone na sio kustick hapo maisha yako yote!!!HAKUNA ATAKAYEKUTHAMINI
 
Fanya kazi kwa bidii tumikia nchi yako na uwe na uzalendo
Nisikudanganye kazi zote ngumu zenye malipo duni ndio zinaitwa za kizalendo kama ualimu na nyinginezo.

Watoto wa wakubwa kwenye hizo kazi kazi za kizalendo huwezi kuwaona, wao watoto wao utawaona BOT,TRA,PPF,NSSF etc.
 
Wewe mwenyewe unajithamini????Kwa aina ya uhandishi na kama umepata muda wa kuangalia mapokezi ya ndege ndio maana uthaminiwi.!!Waliokuwa walimu wote waliongeza elimu yao na kujikwamua/kuthaminiwa na jamii.
Ukiwa mwalimu watu wanakaa wakingoja utafeli wapi???Baba wa taifa alianzia ualimu baadae akajitoa,ualimu ni field ya kufanyia stepping stone na sio kustick hapo maisha yako yote!!!HAKUNA ATAKAYEKUTHAMINI
Dogo husijifanye much know kujua kukosoa lugha umeandika neno UHANDISHI...swali nakuuliza ilo neno liko sahihi?
 
Dah nyie watu mnakera kweli, utafikiri mnafanya kazi ya hisani au ndio watu wenye shida kuliko wote nchi hii

Kuna watu hawana ajira, kuna wakulima wanaosota na kupata hasara, kuna madereva makonda wanaosota kila siku kwenye daladala, kuna watu wengi sana wana tabu kuliko nyie walimu na wanalipwa mshahara mdogo sana.

Ila mnalalamika utadhani ndio mnaofanya kazi ngumu kuliko wote
 
Kama kweli wewe "hausaminiwi" acha wenzio wathaminiwe.Haya wazazi wenye watoto shule za kata ndio walimu hao.
 
Sasa mwalimu hata kuandika tu ni shida.

Sisaminiwi?ulimaanisha nini hapo?

Unafundisha somo gani mwalimu?
Na hpo utakuta kanyoa kiduku alafu amevaa kamatia chini ndio maana saiv Elimu wanayowapa watoto wetu ni ya Mobeto na akina Diamond
 
Back
Top Bottom