Mimi mwalimu naumia sana kwanini sithaminiwi?

Na hpo utakuta kanyoa kiduku alafu amevaa kamatia chini ndio maana saiv Elimu wanayowapa watoto wetu ni ya Mobeto na akina Diamond
Akina ndio lugha gani? Ushoga mbaya sana
 
Wewe mwenyewe unajithamini????Kwa aina ya uhandishi na kama umepata muda wa kuangalia mapokezi ya ndege ndio maana uthaminiwi.!!Waliokuwa walimu wote waliongeza elimu yao na kujikwamua/kuthaminiwa na jamii.
Ukiwa mwalimu watu wanakaa wakingoja utafeli wapi???Baba wa taifa alianzia ualimu baadae akajitoa,ualimu ni field ya kufanyia stepping stone na sio kustick hapo maisha yako yote!!!HAKUNA ATAKAYEKUTHAMINI
GUMBARU aliyosomea Baba yangu ilikua bora kuliko Elimu inayotolewa na walimu wa karba hii, mwalimu hajui kuandika kiswahili cjui anatumia Lugha gani kufundishia, Akina Bwana Matata ndio wamekua walimu sikuhizi
 
Acha umach know shoga
 
Wewe mwenyewe unajithamini????Kwa aina ya uhandishi na kama umepata muda wa kuangalia mapokezi ya ndege ndio maana uthaminiwi.!!Waliokuwa walimu wote waliongeza elimu yao na kujikwamua/kuthaminiwa na jamii.
Ukiwa mwalimu watu wanakaa wakingoja utafeli wapi???Baba wa taifa alianzia ualimu baadae akajitoa,ualimu ni field ya kufanyia stepping stone na sio kustick hapo maisha yako yote!!!HAKUNA ATAKAYEKUTHAMINI
Naunga mkono hoja,anza kujithamini kwanza ww na mipang mizur,hio iwe njia kuelekea unakotaka lkn ukiwaza kusubili pension ni shida
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kandamizwa.
 
Katika ziara mbali mbali za viongozi si jambo geni kukuta waheshimiwa wanatoa pesa kwa kutambua michango ya mashujaa wa nchi...
Mfano leo mzee mapunda kapata mil10...
Hoja yangu Mwl wa darasa la1 wa waheshimiwa Rais magufuli,kikwete,mkapa na nyerere wamepewa nn?
Kwann lakini sisi hatukumbukwiii hii si sawa jamani....
Mwalimu, hebu soma tena kichwa cha habari ulivyokiandika!...Nyie waalimu wa namna hii ndiyo mnadidimiza shule za kata.
 
Katika ziara mbali mbali za viongozi si jambo geni kukuta waheshimiwa wanatoa pesa kwa kutambua michango ya mashujaa wa nchi...
Mfano leo mzee mapunda kapata mil10...
Hoja yangu Mwl wa darasa la1 wa waheshimiwa Rais magufuli,kikwete,mkapa na nyerere wamepewa nn?
Kwann lakini sisi hatukumbukwiii hii si sawa jamani....
Walimu kinachowaponza ni tabia zenu mbovu
Hua mnaonaga dunia yote yenu mkawa mnatunyangasa na kutupa maneno ya kejeli sambamba na viboko
Ndio maana mnaishi maisha ya kishetani
 
Wewe mwenyewe unajithamini????Kwa aina ya uhandishi na kama umepata muda wa kuangalia mapokezi ya ndege ndio maana uthaminiwi.!!Waliokuwa walimu wote waliongeza elimu yao na kujikwamua/kuthaminiwa na jamii.
Ukiwa mwalimu watu wanakaa wakingoja utafeli wapi???Baba wa taifa alianzia ualimu baadae akajitoa,ualimu ni field ya kufanyia stepping stone na sio kustick hapo maisha yako yote!!!HAKUNA ATAKAYEKUTHAMINI
Hili haliwezekani
 
Dogo husijifanye much know kujua kukosoa lugha umeandika neno UHANDISHI...swali nakuuliza ilo neno liko sahihi?
Husijifanye ndio nini!!??

Wewe mwalimu gani?

Ndio maana wadogo zetu wanaingia sekondari hawajui kusoma na kuandika
 
Dah nyie watu mnakera kweli, utafikiri mnafanya kazi ya hisani au ndio watu wenye shida kuliko wote nchi hii

Kuna watu hawana ajira, kuna wakulima wanaosota na kupata hasara, kuna madereva makonda wanaosota kila siku kwenye daladala, kuna watu wengi sana wana tabu kuliko nyie walimu na wanalipwa mshahara mdogo sana.

Ila mnalalamika utadhani ndio mnaofanya kazi ngumu kuliko wote
Kweli
 
Back
Top Bottom