Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 5,844
- 13,106
Hahaaa umenikumbusha mtu mwenye mchepuko na mke mara nyingi akiacha mke na mchepuko wanaachana, bora kuacha mchepuko ila ukigusa mke tu na mchepu kwa heri.kwataarifa yako biashara yako imebebwa na nyota ya kazi yako,,, ukiiacha na biashara itayeyuka
pesa konyo sana inatakaga mshindani sijui kwanini, mwenzetu ana mawili tu akifikisha matawi matatu si hata mama yake atamsahau anaitwa nani..Hahaaa umenikumbusha mtu mwenye mchepuko na mke mara nyingi akiacha mke na mchepuko wanaachana...
Hivi siku ukiugua ghafla (siombei hivyo) nani anakusaidia? Au bado unakaa kwenu? Kuna umri ukifika ni dhairi shairi kwamba angalau uwe na msaidizi wa kutoa msaada endapo kitatokea chochote hasa kinachohitaji privacy yako.
😅😅😅😅mkurugenzi wa kataa ndoa umefikiwa fanya uoe ukishindwa tafuta hata wa sogea tuishi shauri yako
Usiache kazi ndugu
Itakubidi uoe 😅😅haijalishi una mpango au haunaSikai kwetu nipo kazini..
Kwetu ni DSM na kazini ni mkoani...
kwataarifa yako biashara yako imebebwa na nyota ya kazi yako,,, ukiiacha na biashara itayeyuka
Ili iweje...Itakubidi uoe 😅😅haijalishi una mpango au hauna
Hutaweza peke yako inabidi upate msaidizi ndugu yangu usiwe mkaidi 😅Ili iweje...
Kuoa Kuna faida gani kwenye haya maisha ya kutafuta pesa?
#YNWA
We jeurika na hako ka biznes utakuja kutamani kufuta koment humu.Tangia niwe kwenye hii ofisi, nimeshuhudia watu wa3 wameacha Kazi.
Wawili walifungua biashara k.koo na wanaendelea.
Mmoja alifungua biashara Mbeya mjini, ilikufa akakimbilia kwenye ajira ya NGO, Hakurudi serikalini.
Sasa kwanini Mimi niwe kwenye huyo mmoja na sio hao wawili?
#YNWA
Mkuu mojawapo ya sababu ya kitokuipenda kazi ni kuwa na mkopo. Hivyo unaona kiwango cha mshahara unachopokea baada ya makato kuwa kidogo. Hii hushusha ari ya utendaji kazi na kufikia hatua ya kusema ‘naacha kazi’, sipendi kazi n.k
Utaanzaje kupenda kazi ambayo haina returns nzuri ilihali biashara yako inatoa returns za kueleweka?
Maliza madeni, pokea mshahara wote kisha utaipenda kazi yako. Imo!
wee jeurika na ako ka biznes utakuja kutamani kufuta koment humu..
hayo ni maisha yao na siri ya mafanikio katu akuna ataekuambia vyote zaid utaambiwa juujuu tu ili uzoleke km mzoga.