Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,312
- 3,344
- Thread starter
- #21
Pamoja sana wewe kweli ni Pluto thnkeryole uloyaweka kwenye list ndo nayaishi mkuu ila namb5 umeua zaidi!
Pamoja sana wewe kweli ni Pluto thnkeryole uloyaweka kwenye list ndo nayaishi mkuu ila namb5 umeua zaidi!
Unamfuatilia mtu ambaye hakufuatilii mpaka unajua majina anayobadilisha hilo linakupa pesa ?🏳️🌈🏳️🌈kumbe upo😁
Unabadirisha majina kama vile malaya wa sinza anavyobadirisha mikao ya kupokea dushelele.
Aya hama uje na ile ID yako nyingine
Tapeli😁
Salama mkuu , Ukaldayo kumenoga sijui weweOya niaje semenya.
Vipi udindivu wanasemaje uko?
Pamoja sana mkuuHiyo namba 5 umeua sana naungana na Pluto thnker 🔥🔥🔥
Nini kimekukuta mkuu? Mbona kama hauko sawaMzuka wana jamvi ?
Wanadamu tonatofautiana mitizamo na misimamo , Mimi kama 'Gengis ' katika maisha yangu ya hapa jukwaani nina Misimamo ifuatayo ;
1. Siwezi kuwa na multiple ID . Kwangu naona ni udhaifu na uwoga kivipi mtu ujifiche kwenye vichaka tofauti hauwezi kuFace uhalisia kujiamini sehemu Moja ?
2. Kutongoza Mwanamke jukwaani ; awe Pisi Kali , mshangazi , demu , mbibi nk kwani siamini kwenye mahusiano ya mitandaoni haswa hapa jukwaani naona kuchoreshana na kupotezeana muda
3. Kuwa na Bifu na mtu ; Jf ni sehemu ndogo sana katika maisha yetu , tunaelimishana na kuEnjoy sasa kwa nini nimuwekee kinyongo mtu tena fake ID hatujuani ? Kugombana na mtu akileta uhuni na Mimi namletea UGengis inaisha Kinyagwisi bila mchecheto wowote.
4. Kumuweka mtu katika ignorelist ; huu naona udhaifu dawa ya moto ni moto . KumuIgnore ni ishara ya kuwa haupo stable kiakili kiasi ambacho cha kuvimilia na kushindana na hoja pinzani
5. Kueleza matatizo yangu binafsi na kuomba Msaada hovyo .
Najua baadhi ya watu kama sio wengi wana matatizo humu unaweza kuwa na shida ya kweli wakakuletea mizaha na kukupa maneno magumu ambayo yatasababisha madhara zaidi .
Nikiwa na shida naona bora kutafuta ndugu na marafiki ninaowajua wa uhakika kuwa wanaweza kutoa Msaada au faraja.
#Nimefika tamat
Hakuna Chochote Just 4 fun .Nini kimekukuta mkuu? Mbona kama hauko sawa
Kwa sababu umefikiria mbali sana na ukiwa na uchungu ndani yake..Hakuna Chochote Just 4 fun .
Kwanini useme hivyo mkuu
Ndio
Hii inafanya hat mengine ya chini yakose Credibility.1. Siwezi kuwa na multiple ID . Kwangu naona ni udhaifu na uwoga kivipi mtu ujifiche kwenye vichaka tofauti hauwezi kuFace uhalisia kujiamini sehemu Moja ?
Sogea duka lililokaribu yako uchukue soda nitalipa Mimi.Hii inafanya hat mengine ya chini yakose Credibility.
Kila mtu anajua kuwa ww ni Maghayo Family.😂😂😂😂
kuna siku ulionyesha screenshot yenye ID 7 ambazo ziko na saved password.
Naona Wenzako wametulia sikuhizi.
Namaanisha ID zako zilitulia. 😎😎😎.
Na ukitaka kujua ni Mtu mmoja.
Hapa katikat hakuna maghayo family aliyekuwa hewani.
umerud Baba na Kiongozi wa maghayo Gengis . Na zenyewe zitarudi.
Ila huna baya na mtu mwanetu.
SawaUtajua mwenyewe
SawaKwa sababu umefikiria mbali sana na ukiwa na uchungu ndani yake..
Hilo jeusi ni nini?