min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,066
- 166,625
Sana mkuu mini pia nimekufikiri hivyoTafuta comment yangu yeyote niliyowahi sema "kataa ndoa, ndoa ni utapeli"😅
Hivi kwanini watu wananihusisha sana na kataa ndoa? Au nimekaa kikataa ndoa
Sana mkuu mini pia nimekufikiri hivyoTafuta comment yangu yeyote niliyowahi sema "kataa ndoa, ndoa ni utapeli"😅
Hivi kwanini watu wananihusisha sana na kataa ndoa? Au nimekaa kikataa ndoa
Somo la heshima tukisema tukupe marks utapata ngapi ..?Ni kweli mimi naheshimu kila mtu ila mimi kuwa na heshima umebuni tu mkuu😄
Maana naona wengi wakinihusisha na kataa ndoa, nna uhuni wangu ila sio kuwa kataa ndoa. Nitaoa japo najiona kwa kuchelewa sana, mno, kabisa.Sana mkuu mini pia nimekufikiri hivyo
Sure mkuu.Maana naona wengi wakinihusisha na kataa ndoa, nna uhuni wangu ila sio kuwa kataa ndoa. Nitaoa japo najiona kwa kuchelewa sana, mno, kabisa.
Kama nakuona unavyosumbuliwa huko DM na wadada wa JF uwape namba ya mganga wako 🤣🤣Nilitamani sana kuolewa kama miaka miwili iliyopita.
Na Sasa mungu anakaribia kutenda🤣🤣
Na anaefanya hicho kitendo anaitwa "mrozi" au "mlozi" ?Nimeenda kwenye kamusi ni kuroga na sio kuloga
😂 😂 😂"Mganga mungu, mitishamba Imani😁" ndo ninavowajibu
Eeeh lakini sisi wawili tunaujua ukweli wa jinsi ulivyohangaika 🤣🤣"Mganga mungu, mitishamba Imani😁" ndo ninavowajibu
Una shida wewe si bure 😂😂😂Tuombeane in late Magufuli voice
Ukute huyo Shetani ni mwema kuliko sisi tunaemtwishwa hizo kesi 😂😂😂Ni Kama shetani anavyobambikiwa kesi😂
Akatae ndoa ajiunge na upinde siyo?KATAA NDOAAA
Uyasemayo ni kweli kabisa maana kuna dini lukuki hapa duniani zikishindana na shetani mmoja tu miaka yote hii.Ukute huyo Shetani ni mwema kuliko sisi tunaemtwishwa hizo kesi 😂😂😂