Dr. Nchimbi: Tarehe 4 September ina maana gani?

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,704
Reaction score
9,922
Kuna kitu kinachonifanya niitazame sana tarehe 4 September 2026 kwenye kujiuzulu kwa Dr Emmanuel Nchimbi.

Sidhani kama tarehe hiyo imechaguliwa kwa bahati mbaya. Nchimbi ameamua kuondoka rasmi siku ambayo inakaribia kutimiza mwaka mmoja tangu alipokuwa Makamu wa Rais.

Cha muhimu zaidi, mpaka tarehe hiyo Nchimbi bado ndiye Makamu wa Rais. Baada ya nafasi kuwa wazi ndipo mchakato wa kikatiba wa kumpata Makamu mwingine utaanza rasmi.

Kwa hiyo swali langu ni: kwa nini 4 September?

Je, ni suala la kutimiza mwaka mmoja? Ni ahadi aliyowahi kutoa kwa Rais? Au kuna jambo lingine la kisiasa tunalopaswa kulisubiri mpaka tarehe hiyo?

Mimi sioni kama hii ni resignation ya kawaida tu. Kuna details za timing ambazo zinafaa kuchunguzwa kwa makini.
 
FB_IMG_1787666044802.jpg
 
Anasikilizia kwanza. Inawezekana ametegeshea urithi
 
Back
Top Bottom