Mkuu Mshana mbona mimi naona mmea unaonekana kama bibi kizee aliyeshika tumbo, jicho moja limefunguka na lingine limefumba au mimi nina matatizo kwenye analytical mind yangu - ingawa mimi ni member wa MENSA na scores yangu za IQ ilikakuwa 127 - baada ya test Wazungu walisema kutokana na jinsi nilivyo kuwa najibu maswali inaonyesha analytical mind yangu hiko juu sana - sijui walikuwa na maana gani, lakini nikimwangalia mtu jinsi anavyo ji-conduct, anavyo zungumza, anayo andika/jibu na body language yake basi ni mara chake kukosea kumsoma hulka zake na anacho dhamilia - sitanii ndio nilivyo - sasa bwana Mshana Jr, je,nilicho sema kuhusu mmea huo nimepatia au? CHEERS.