Mimea hatari ya kichawi

Mimea hatari ya kichawi

Nitafanya uchunguzi kilammea kuangalia mzizi kama huo wenye umbile la kiumbe maana sijawai kuona toka nizaliwe
 
Mara zote watu ukiwaambia habari zinazohusu ushirikina, watu huwa wanarusha mawe pasipokujua madhumun ya mawe yale, lakini huu ndo ukweli usiopingika! Kuna mti mmoja huwa unatumiwa sana na wachawi na waganga wa kienyeji, ule mti unaambiwa huwa unaonekana mara moja tu, na ukiuona lazima ushikwe tumbo la kuhara ghafla au mkojo mkali. Ukiijali tu haja, ule mti unapotea, mpaka urudi siku nyingine. Au mtu ukimwambia kuwa ziwa Tanganyika ndiko liliko soko kubwa la madawa ya kiganga na uchawi kwa Africa nzima mtu hawezi kukubali, ila ukweli upo hivyo
 
ninailima sana huku kwangu.
unaitwa TIMBUKTU FLOWER everhurt .
Usiipande nyumbani

Nikipanda nyumban wachawi watajaa??
Km mtu ataka kuupanda aupandie wapi,
Na unavyoilima hua unaifanyia kazi gani??

Plz mtujuze kiundani tuelewe.
 
Last edited by a moderator:
ninailima sana huku kwangu.
unaitwa TIMBUKTU FLOWER everhurt .
Usiipande nyumbani

Nikipanda nyumban wachawi watajaa??
Km mtu ataka kuupanda aupandie wapi,
Na unavyoilima hua unaifanyia kazi gani??

Plz mtujuze kiundani tuelewe.

Nimecheki sio hii TIMBUKTU FLOWER, variety ya niliyopata hii hapa 1451074220174.jpg
 
Last edited by a moderator:
Matumizi na mwonekano

Mkuu Mshana mbona mimi naona mmea unaonekana kama bibi kizee aliyeshika tumbo, jicho moja limefunguka na lingine limefumba au mimi nina matatizo kwenye analytical mind yangu - ingawa mimi ni member wa MENSA na scores yangu za IQ ilikakuwa 127 - baada ya test Wazungu walisema kutokana na jinsi nilivyo kuwa najibu maswali inaonyesha analytical mind yangu hiko juu sana - sijui walikuwa na maana gani, lakini nikimwangalia mtu jinsi anavyo ji-conduct, anavyo zungumza, anayo andika/jibu na body language yake basi ni mara chake kukosea kumsoma hulka zake na anacho dhamilia - sitanii ndio nilivyo - sasa bwana Mshana Jr, je,nilicho sema kuhusu mmea huo nimepatia au? CHEERS.
 
Back
Top Bottom