Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,519
- 4,364
NAUZA AKILI
Nilipogundua wanaosali Sana ndio wanaoongoza kwa masengenyo na negativity, niliamua kua karibu na mimea kuliko waabudu hadithi za Oxford university,
maarufu kama neno la mungu
Na nilipogundua kua wanaosali Sana ndio wanao ogopa wachawi na kulogwa, nikaamua kua upande wa wanaoogopwa na mungu
hahaha 🤣
basi bwana huku edeni siombwi zaka wala sadaka,
wala sisikii michango ya kuchangia kwaya, inayoimba habari za kuchomwa badala ya kutajirika na kuto ugua,
sisikii mahubiri ya kukemea mapepo wala wakemea nguo za wadada, waliobarikiwa viuno na Miguu ya bia,
naskia tu sauti za nyuki na wadudu bila kusahau harufu tamu ya mimea,
nikisinzia kidogo sisikii mhubiri wa kukemea kua, ibilisi kaniletea usingizi ili nisile neno,
Bali kila nisinziapo mimea inanibembeleza maana haina muda wa kuona mabaya ndani yangu.
huku ulimwenguni edeni sioni washiriki wenye magari Yao wakielekeza jinsi ya kupaki magari "mazabauni"
wala sioni mchungaji akinipungia mkono, huku akiwa kwenye gari la mshiriki, mwajiriwa wakienda Kula kwake
naskia tu upepo mwanana juu ya mimea isiyo na ubaguzi,
kwa ufupi sisikii habari za jehanamu wala mbinguni
nipo tu kwenye wakati uliopo
unaoniongezea "high vibration of energy"
Any ways jina langu litukuzwe, aamen