hizo picha kwangu hazifunguki
Upo family moja nyanya,hoho,bilinganya na ngogwe basi usigetwambia tusile nyanya tu..MziziMkavu Kaka nina ombi moja kwako huko uliko fanya uwezavyo tuupate huu mmea utatusaidia sana sanaView attachment 312981 mandrake-tree-of-knowledge.html
SijakuelewaUpo family moja nyanya,hoho,bilinganya na ngogwe basi usigetwambia tusile nyanya tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mmea wako upo family ya solanaceae...ambayo ni family ya mmea km nyanya na mingineyo according to sreenshot zako
OkayHuo mmea wako upo family ya solanaceae...ambayo ni family ya mmea km nyanya na mingineyo according to sreenshot zako
Sent using Jamii Forums mobile app