Mimea hatari ya kichawi

Mimea hatari ya kichawi

Aaah kumbe...!! Ulikuwa huko eeh.. Hebu nipe link ya hiyo movie
Kuna wakati si lazima uchangie kuonyesha unajua huu ni Upuuzi mtupu.. Kama hujui ficha upumbavu wako kwa kukaa kimya
Hiyo Movie inaitwa "Pans Labyrinth!" Ukimaliza ulete feedbacks...:redface:

NB
Usibonge kambla haujajipanga!!!
 
Hiyo Movie inaitwa "Pans Labyrinth!" Ukimaliza ulete feedbacks...:redface:

NB
Usibonge kambla haujajipanga!!!

Usiongelee movie ongea kitu halisi, mimi si mtu wa Vitu vya kufikirika na kusadikika hii ndio tofauti yangu kati ya mimi na wewe
 
Usiongelee movie ongea kitu halisi, mimi si mtu wa Vitu vya kufikirika na kusadikika hii ndio tofauti yangu kati ya mimi na wewe
Siamini mambo ya kichawi sawa bali uchawi uko..Hiyo picha ni drawing kama ni real tuma nyingine tena video..Hivi huku JF hamna wachawi waje wadhibitishe hii kitu ni kweli huko kwao Gambosh wanalima au wanafanyia biashara..Kwasababu mimi siamini hata kidogo:hand:
 
Kutoamini kwako hakuondoi ukweli wa jambo but at least umecoment kwa heshima, video pia zaweza kutengenezwa kwahiyo usidanganyike na motion pictures
 
Tunayoyajua ni machache kuliko tusioyajua,Mshana endelea afu usisahau kunitag kwa threads zako ili nijifunze zaidi,
 
Naomba ufunguke zaidi kuhusu mmea huu na pia unitag katika post zako
 
mbona sioni kitu? au huu muonkano mpya wa jf ndo umeathiri picha
 
@mshana jr nina kitu ningependa kujua kutoka kwako kuhusu habari hizi, nikikaa sawa nitaanzisha thred nita kutag. Maana kuna somo natakiwa kulitoa mahali sa kwa mawili matatu kutoka kwako sitakosa cha kuongezea kila la heri.
 
OK karibu sana
 
1471136837279.jpg
1471136842801.jpg
mandrake plant
 
Kwa wasomaji wa biblia inapaswa wazifahamu "TUNGUJA". a.k.a Mandrake. Pamoja na mambo mengine ambayo biblia imenyamaza kuhusu mandrake, bado imeonesha nguvu ya mmea huu kwenye mahusiano (love), huwezi kuchomoka kabisa hata ukiwa vipi.

Mwanzo 30 : 14-17
14 Reubeni akaenda siku za mavuno ya ngano akaona tunguja kondeni, akazileta kwa Lea mamaye. Ndipo Raheli akamwambia Lea, Nipe mimi baadhi ya tunguja za mwanao.
15 Naye akamwambia, Je! Ni jambo dogo kuninyang?anya mume wangu; hata wataka kuzitwaa tunguja za mwanangu pia? Raheli akamwambia, Kwa hiyo atalala kwako usiku huu kwa tunguja za mwanao.
16 Yakobo akaja kutoka kondeni jioni, Lea akatoka kumlaki, akasema, Lazima uje kwangu, kwa sababu nimekuajiri, kwa tunguja za mwanangu; akalala kwake usiku ule.
17 Mungu akamsikia Lea, naye a
 
Back
Top Bottom