Mimea hatari ya kichawi

Mimea hatari ya kichawi

Hehehe wajinga wataliwa hadi kesho.

Hii sio mimea halisi maana ni objects tu zilichongwa zionekane kama mimea zimetumika kwenye movie za harry potter, leo hii mtu anakuja kudanganya wengine kua ni mimea ipo na mbwigaz wamekaa wanaamini, hehehe! Ogopa internet, vilaza wengi sana.

View attachment 313103
Kuna wakati jaribu kupunguza ujuaji wa kipuuzi, hebu acha maneno matupu lete link inayothibitisha madai yako
Ujuaji ukizidi ni ujuha ujue... Ila nafikiri hata username inakuathiri kwakuwa perception creates reality
 
(- 0 +) niko hapo kwenye sifuri

Nitakupataje ndugu Mshana? Upo hapa Tz au huko mbali? Nakuhitaji sana kwa msaada wa kuponywa na kukingwa kilozilozi. Msaada wako tafadhari. Maana haya mambo yapo na wapo kwa ajili ya kusumbua watu tu! Tafadhali nipe njia mmbadara ya kuwasiliana nawe mkuu. Dawa ya moto ni moto tu mengine ni maigizo. Tafadhali
 
Ucjali takutafuta
 
HollyWood Hiyo...Endelea kuangalia movie ukizani ni reality

Aaah kumbe...!! Ulikuwa huko eeh.. Hebu nipe link ya hiyo movie
Kuna wakati si lazima uchangie kuonyesha unajua huu ni Upuuzi mtupu.. Kama hujui ficha upumbavu wako kwa kukaa kimya
 
View attachment 313103
Kuna wakati jaribu kupunguza ujuaji wa kipuuzi, hebu acha maneno matupu lete link inayothibitisha madai yako
Ujuaji ukizidi ni ujuha ujue... Ila nafikiri hata username inakuathiri kwakuwa perception creates reality

Hehe mkuu hadi hili unabisha?

We umesoma huo upuuzi kwenye source za udaku unakuja kutudanganya, em angalia hii link ambayo inaongelea objects zilizotumika kwenye movie ya Harry Potter, hiyo plant ni vision tu ya writer wa movie sio unameza kila ujinga unaouona online. Mandrake - Harry Potter Wiki - Wikia

Em soma hapa Wikipedia uongeze akili, wanaongelea real specie ya huo mmea sio unakuja na source zilizotungwa tu ovyo na watu wenye tabia yako https://en.wikipedia.org/wiki/Mandragora_officinarum

NullPointer this is pathetic unajua kusoma vizuri kiingereza na kuelewa maana yake? Nakuwekea tena nilichokuwekea 1451149604182.jpg
Hicho unachokiita udaku na wewe umekitoa hukohuko hebu usidandie gari kwa mbele angalia post ilikoanzia uone ujinga wako
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom