Kwa wasomaji wa biblia inapaswa wazifahamu "TUNGUJA". a.k.a Mandrake. Pamoja na mambo mengine ambayo biblia imenyamaza kuhusu mandrake, bado imeonesha nguvu ya mmea huu kwenye mahusiano (love), huwezi kuchomoka kabisa hata ukiwa vipi.
Mwanzo 30 : 14-17
14 Reubeni akaenda siku za mavuno ya ngano akaona tunguja kondeni, akazileta kwa Lea mamaye. Ndipo Raheli akamwambia Lea, Nipe mimi baadhi ya tunguja za mwanao.
15 Naye akamwambia, Je! Ni jambo dogo kuninyang?anya mume wangu; hata wataka kuzitwaa tunguja za mwanangu pia? Raheli akamwambia, Kwa hiyo atalala kwako usiku huu kwa tunguja za mwanao.
16 Yakobo akaja kutoka kondeni jioni, Lea akatoka kumlaki, akasema, Lazima uje kwangu, kwa sababu nimekuajiri, kwa tunguja za mwanangu; akalala kwake usiku ule.
17 Mungu akamsikia Lea, naye a