Mimbo ya utotoni

Masikini tunda langu ae, ae,
tunda lenye rangi yangu ae, ae, nilikwenda msituni ae, ae, mimi na rafiki yangu ae, ae, risasi ikaponyoka ae, ae, ikampiga rafiki ae, ae.

hahahaha wifi nahitaji tune ya huu wimbo lol
 
khaaa kesho nikija kwako kuchukua lile gauni langu usisahau kuniimbia
Khaaa, kwani si nilikwambia nalitegemea ijumaa niendee njia ya msalaba? Njo ulichukue jmosi wifi plz...

Ngoja nikupigie nikuimbie kwenye simu!
 
Khaaa, kwani si nilikwambia nalitegemea ijumaa niendee njia ya msalaba? Njo ulichukue jmosi wifi plz...

Ngoja nikupigie nikuimbie kwenye simu!

uwifi gharama huu,haya na mtoko nalo jmosi ukirudi tu upeleke dry cleaner unaskia?na nasubiria simu yako.
 
uwifi gharama huu,haya na mtoko nalo jmosi ukirudi tu upeleke dry cleaner unaskia?na nasubiria simu yako.
Ndio hivyo, usiponisitiri wifi ako utamsitiri nani? Ntalipeleka usijali wifi..

Nasubiri masaa ya ofa ndio nikupigie. Usilale!
 
Kabana una swagger wewe....lol... Wimbo wa sandakalawe waujua woote dear? Nina wasi wasi kidogo...
 
anana ana do...ispilingiii matejoooo...kajambaaa,tenaa sanaaa,ushuziiii unanukaaaa.............. na hihiiii YAI BOVU YAI BOVUUU,LINANUKALINA NUKAAAA..
 
anana ana do...ispilingiii matejoooo...kajambaaa,tenaa sanaaa,ushuziiii unanukaaaa.............. na hihiiii YAI BOVU YAI BOVUUU,LINANUKALINA NUKAAAA..

hahahaha umeua mkuu hahaha khaaa wewe unakumbuka za kunuka tu?
 
Dada nieleze nieleze nieleze, siku uliyokuja uliyokuja uliyokuja, ulivaa nguo gani, nguo gani nguo gani

Nilivaa tinabuu, tinabuum, tinabuu,
chini, raba mtoni
juu shati puto puto.......

Nyingine...

Maua ya bustani yamechanua, kina baba kina mama siri zenu tumezijua........
 
jinsia za wana jf ni siri moyoni mtabaki kuotea otea mkikutana live ndo unabaki mdomo wazi......mm nyimbo nlikuwa czifagilii napenda michezo yetu hasa kombolelaaaa butuaaaa huokoe wenzio,,,,nlikuwa napenda kujificha na wakina kabakabana,preta,afrodenz n.k
 
hehehe mambo rose?
 
hee ya jinsia yametokea wapi tena?
 
watoto wangu eeee......eeeeee
mimi baba yenuu........eeeeeh
sina nguvu tena.........eeeee
ya kuuua simba......eeeeh
simba ni mkali......eeeeee
aliua baba..........eeeeeeh
aliua mjomba.......eeeeee
aliua shangazi.....eeeeee

watoto msigeuke nyuma, yai bovu linapitaaa X2

yai bovu yai bovu..
Linanuka linanuka.......
Linanukaje linanukaje...
Fyuuufyuuuchachachaaaa

nina ndoo yangu...eeeeeeeh
ya kuchota maji.....eeeeeh
maji ya barafu......eeeeeeh

watoto msigeuke nyuma...yai bovu linapita X2
 
ukutiii ukutiiiiii...
Wa mnaziii wa mnaziiii
mwenzetuuu mwenzetuuuu
kagangwa kagongwaaaa....
Naniniiii naniniiiii??????
Na gariiii na gariiii
tumpeleke hosipitali asije kusema kwa baba yake...
Yeeeesaaa yessaaaa yesaa eeeeeh
yesaaa tenaaaa
yesaaa yesaaaa yesaaa yeeeeeh
yesa tenaaaaa
 
Back
Top Bottom