Mimbo ya utotoni

Mimbo ya utotoni

ukutiii ukutiiiiii...
Wa mnaziii wa mnaziiii
mwenzetuuu mwenzetuuuu
kagangwa kagongwaaaa....
Naniniiii naniniiiii??????
Na gariiii na gariiii
tumpeleke hosipitali asije kusema kwa baba yake...
Yeeeesaaa yessaaaa yesaa eeeeeh
yesaaa tenaaaa
yesaaa yesaaaa yesaaa yeeeeeh
yesa tenaaaaa

hehehe haya pumzika kwanza mtoto mzuri eeh
 
Back
Top Bottom