babu hukumtendea haki huyo dada.
wewe ulikuwa unajua hatma ya huo uhusiano, na yeye kwa vile alikuwa part and parcel ya huo uhusiano alikuwa na haki ya kujua hatma ya uhusiano. kama wewe ungekuwa hujui hilo ni swala jingine, lakini ulikuwa unajua kuwa una mpenzi ambaye unampenda sana na unarudi kwake, kulikuwa na ubaya gani kumshirikisha huyu ili ajue hatma yake?
wakati mwingine na nyie wakaka huwa mnakosea sana, mnadhani nyie ndo mna power ya ku-dictate relationship, mnasahau kuwa mahusiano ni ya watu wawili, na wote mna haki ya kujua status ya relationship yenu. ndo maana mara nyingi mimi nasisitiza kwenye ndoa huwa tunaoana, hakuna anayemuoa mwenzie, lol!
mashosti
gfsonwin,
Kongosho,
King'asti,
cacico,
nivea,
Ciello,
Madame B,
Zinduna na mlongo wangu
snowhite mje mnitetee hapa babu akinirushia konzi, lol!