Mimba za kutegeshea zinavyoharibu maendeleo.

Mimba za kutegeshea zinavyoharibu maendeleo.

Hapa kuna issues mbili teacher...

Moja ni suala la kutegeshewa mimba ambalo hata wajanja huwa mara nyingine wananaswa....Sex inatawaliwa na mwanamke na anaweza kukufanyia lolote kama kweli anajitambua....Chance ya kutegeshewa ipo na wahanga wapo wengi!

Jingine ni lile la kwenda kutafuta information kwa shoga wa GF wake....hapo kwa kweli hata mie nimekereka sana. Mwanamume anayejitambua hawezi kufanya blunder kama hiyo!

Babu DC!!
babu dc binti anayelengesha mimba ni mjinga tena wala hastahili kuonewa huruma manake anajitwisha gunia la misumari mwenyewe. mm mtu kama huyu simwonei huruma manake mvulana lazima awe mshindi tu.

kw apost ya huyu matatizo ni wazi kwamba hampi gf wake nafasi ya kumsikiliza na anahukumu kwa kutumia maneno ya mtu baki.akue kwanza kisha arudi nimpe akili nini ha kufanya. wanafunzi wengiine babu azima utumie mifano migumu ndipo waelewe vizuri
 
leo mnaongea kwa kirefu
hadi babu DC? Mie hata siwaelewi ama wajukuu wananipagawisha hapa nini?
 
Kutegeshewa kunaumiza sana @FP,

Unaweza ghafla ukaanza kumchukia mtu ambaye ulimpenda sana katika hii dunia....

Babu DC!!
swali linalonijia tu ni kwa nini umtegeshee mtu mimba? swala ni kukuoa? na asipokuoa je si imekula kwako?
ngoja nisiendelee......
 
anakula bila maganda afu anaogopa mimba.
Ananishangaza mie.


Kwani alijitafuna mwenyewe na wewe Kongosho?

Kama walikubaliana kumenya pipi basi wangekubaliana kwamba kuna uwezekano wa kukwama kooni...

Why not agree on risks and outcome?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kwani akiamua kusababisha pancha kwenye mpira utamzuia?

Kwani zinahitajika risasi ngapi kuua mtu?

Hakuna mtu anaweza kumshida mwanamke aliyeamua kufanya kitu kama hiki...


Babu DC!!
nakubaliana nawe babu, tukiamua tunaweza hata bila kuwezeshwa, lol!
 
Sina ugomvi na hilo kwani watoto wa namna hiyo tunao wengi..

Suala ni kumpa maelezo ya kutosha baba kwamba kweli hujamwekea mtego...

Ila hapa jamaa analalamika kwamba kategeshewa. Unadhani katendewa haki??

Babu DC!!

babu kategeshewa kwa mujibu wa maneno ya nani?? ya binti mwenyewe ama ya rafiki wa gf??

kwa mujibu wa maneno yake gf ni mtu muelewa sana na ni wazi kwamba asingeweza kuruhusu hilo kwa makusudi manake anajua burden ya mimba isotarajiwa itamwangukia yeye. na nafikiri labda aje atuambie kama amewah kuongea na huyu gf juu ya hili na nini ilikuwa majibu ama mtazamo wa huyu binti. istoshe inategemea ata muuliza binti akiwa na mudi gani akienda kwa kuhamaki atapa stupid answers ambazo mwisho wa siku zitamuumiza tu. ilihitajika busara sana kuliko kusikiliza kwa mtu baki.
 
Kumbuka si wanawake wote wanataka sana ndoa.

Kuna saa mwanamke hana shida ya kuolewa ila anataka mtoto.

Na kwa kuwa keshaona mbegu nzuri zko wapi, basi anamtegeshea huyo mchele wa kitumbo ili wazae mtoto.

Kutegesha kwa ajili ya ndoa hakuna mantiki, maana si kila mwanamme anayempa mwanamke mimba humuoa.

swali linalonijia tu ni kwa nini umtegeshee mtu mimba? swala ni kukuoa? na asipokuoa je si imekula kwako?
ngoja nisiendelee......
 
Kwani alijitafuna mwenyewe na wewe Kongosho?

Kama walikubaliana kumenya pipi basi wangekubaliana kwamba kuna uwezekano wa kukwama kooni...

Why not agree on risks and outcome?

Babu DC!!
umeona eeh babu?
hata kama ingetokea kuwa hawakukubaliana lakini pia wote hawakujua kama watakabwa basi kusingekuwa na wa kulaumiwa
 
Kumbuka si wanawake wote wanataka sana ndoa.

Kuna saa mwanamke hana shida ya kuolewa ila anataka mtoto.

Na kwa kuwa keshaona mbegu nzuri zko wapi, basi anamtegeshea huyo mchele wa kitumbo ili wazae mtoto.

Kutegesha kwa ajili ya ndoa hakuna mantiki, maana si kila mwanamme anayempa mwanamke mimba humuoa.
Kongosho my dear, hapa hatuna tatizo kabisa na huyo mdada ambaye hataki ndoa, shida yake ni mbegu tu. hao wapo weeengi sana tu, na wengine wenye busara zao hawataki kabisa hata kuwaambia wababa wa watoto kuwa ni wao.
hapa tatizo letu ni yule ambaye anategeshea kwa madhumuni ya kuolewa, hapo ndo shida inapoanzia
 
Last edited by a moderator:
Kutegeshewa kunaumiza sana @FP,

Unaweza ghafla ukaanza kumchukia mtu ambaye ulimpenda sana katika hii dunia....

Babu DC!!

unajua babu ili uweze kusema kwamba i=umetegeshewa lazima nikuhoji maswali mengi sana
je mlikubaliana kwenda ku do??
binti alilazimisha wewe hukutaka ama siyo?? je kwani njia pekee ilikuwa lazima penetration ifanyike kwa siku hiyo ambayo wewe ulikuwa na wasiwasi nayo??

haya ni kweli kijana wa kiume hakuwa bize kuhesabu siku lkn je huwa anamshawishi mwenzie juu ya kuepuka mimba zisizotarajiwa ama huwa anaongea tu ten baada ya kutiana??
kama kwenye maswali yote haya mwanaume atakuwa makini basi ni wazi hawez kutegeshewa.
 
Noted with thanx, lol!
usiondoke babu tusaidiane kuwaweka hawa wajukuu katika mstari.
hicho kitendo siyo haki kabisa kufanyika, itokee bahati mbaya, wote hamkujua sawa lakini kama umejua na unataka tu kumfunga mtu ili akuoe hiyo si busara kabisa. Tena mimi naona kama mtu anazugazuga kukuoa ni vizuri ukajibakia zako bila mimba, huwezi jua labda hakuwa wako, na ukaja pata mwingine. sasa vipi inavyotokea umejilengesha na jamaa kala kona vile vile? maana kukupa mimba si lazima akuoe

Hivi wewe mzee mwenzangu @FP,

Wadada huwa hamuwezi kutofautisha potential husband materials and wapita njia?

Kama hii hamuiwezi basi poleni sana.....!!


Kuna jamaa yangu mmoja alinambia kuwa mama mkwe wake alimweleza wife, right from the beginning kwamba he was a a real husband stuff....!!


Babu DC!!
 
ujue babu, sijaelewa huyu kaka kulalamika kategeshewa.

Ukishakubali kubanjuka, tegemea risk zake kuwepo.

Hata kama alivaa kinga, mara nyingine hupasuka na watu kupeana mimba.

Ukute wanatumia njia ya siku salama iliyo na utata kweli kweli.

Hizi mimba zisizotarajiwa hata kwa wanawake haziwi rahisi kuzikubali, lakini basi afanyeje imeshatokea.

Bora wanamme wana nafasi ya kukimbia hata kwa muda.

Kwani alijitafuna mwenyewe na wewe Kongosho?

Kama walikubaliana kumenya pipi basi wangekubaliana kwamba kuna uwezekano wa kukwama kooni...

Why not agree on risks and outcome?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Bora iwe kweli mimba yako sasa unabambikiwa mtoto anazaliwa unakuta ana sura ya kichina
 
kutegesha mimba kwa ajili ya ndoa ni ukichaa wa aina nyingine.

Mtu anaweza amtie mimba na asimwoe vile vile.

Kongosho my dear, hapa hatuna tatizo kabisa na huyo mdada ambaye hataki ndoa, shida yake ni mbegu tu. hao wapo weeengi sana tu, na wengine wenye busara zao hawataki kabisa hata kuwaambia wababa wa watoto kuwa ni wao.
hapa tatizo letu ni yule ambaye anategeshea kwa madhumuni ya kuolewa, hapo ndo shida inapoanzia
 
Last edited by a moderator:
Hivi wewe mzee mwenzangu @FP,

Wadada huwa hamuwezi kutofautisha potential husband materials and wapita njia?

Kama hii hamuiwezi basi poleni sana.....!!


Kuna jamaa yangu mmoja alinambia kuwa mama mkwe wake alimweleza wife, right from the beginning kwamba he was a a real husband stuff....!!


Babu DC!!
imebidi babu niache nilichokuwa nakifanya ili nikujibu vizuri hili swali ingawa ulimuuliza @fp.

iko hivi mwanamke ambaye yuko makini anamjua kabisa material husband na huyu hukuta mara zote hata kama atakatishwa tamaa na situation lkn atajitahd kupangilia hadi lengo litimie na maisha yaende vyema na wengi wao huwa successful

sasa kuna kundi la wanawake ambao hasa vijana ambao hawakulelewa malezi tuliyolelewa sisi, hujikuta wanafanya mambo kwa kufuata mkumbo. A aliolewa na aakamchangia, sherehe ikafana, hadi chereko ikaonyesha basi nayeye anataka afosi ili aolewe. huyu hun'ang'aniza hata pale ambapo hapawezekani.

yupo mwanamke mwingine umri umepita sana, sasa anaona muda utanitupa mkono so anafosi kuolewa pasi kuangalia aina ya mume anayemuoa. mara nyingi hawa ni wale wanaoolewa na vijana wadogo ambao ni shao baro ilihali binti ni mtu mzima mwenye utashi mkubwa tu mwisho wa siku mume si mtu si wazimu hajulikani ni nani.

wapo wengine ambao wanaolewa kwa msukumo wa ndugu like mama ama dada ama shangazi na hawa hujikuta wanapigiwa mapande na ndugu ama rafiki ili waolewe.

iko very contradicting kujua nini ni nin. but kwa wawake wengi trustworth friends are made since when they were young.
 
Habarini za Juma pili wana JF.
Leo napenda kuwasilisha juu ya hili la wadada wanapokua na long time relationship. Mara nyingi huwa wanashauriana eti ukitaka flani akuoe we mzalie mtoto. Utakuta saa nyingine ndio umepanga utamwoa lakini baada either kujiendeleza kimasomo ili uongeze kipato ama kufikia hatua flani ya maendeleo. Sasa baada ya kutegeshewa basi tena hapo kidume huez kufikiria maendeleo ambayo umejiwekea zaidi ya kujiandaa na majukumu ya malezi. Hivi wadada mnajua ni jinsi gani inavyouma kwa mwanaume ukimtegeshea mimba?

Hii nidyo taarifa yuliyoletewa teacher wangu gfsonwin

babu kategeshewa kwa mujibu wa maneno ya nani?? ya binti mwenyewe ama ya rafiki wa gf??

kwa mujibu wa maneno yake gf ni mtu muelewa sana na ni wazi kwamba asingeweza kuruhusu hilo kwa makusudi manake anajua burden ya mimba isotarajiwa itamwangukia yeye. na nafikiri labda aje atuambie kama amewah kuongea na huyu gf juu ya hili na nini ilikuwa majibu ama mtazamo wa huyu binti. istoshe inategemea ata muuliza binti akiwa na mudi gani akienda kwa kuhamaki atapa stupid answers ambazo mwisho wa siku zitamuumiza tu. ilihitajika busara sana kuliko kusikiliza kwa mtu baki.

Kama unavyoona, hata story ya mleta mada haijakamilika...

Ila kuna mahali kasema kuwa kagundua kuwa alitegeshewa ingawa katumia source ambayo ni hatari zaidi ya ukoma...

Ila hayo ndiyo aliyoyasema na anayaamini...

Side ya binti hatuna na ngumu kujua kilichoko upande huo!!

unajua babu ili uweze kusema kwamba i=umetegeshewa lazima nikuhoji maswali mengi sana
je mlikubaliana kwenda ku do??
binti alilazimisha wewe hukutaka ama siyo?? je kwani njia pekee ilikuwa lazima penetration ifanyike kwa siku hiyo ambayo wewe ulikuwa na wasiwasi nayo??

haya ni kweli kijana wa kiume hakuwa bize kuhesabu siku lkn je huwa anamshawishi mwenzie juu ya kuepuka mimba zisizotarajiwa ama huwa anaongea tu ten baada ya kutiana??
kama kwenye maswali yote haya mwanaume atakuwa makini basi ni wazi hawez kutegeshewa.

Hapa nashindwa kukuelewa teacher,

Unaongelea sex kwa upande wa watu wa 1947 au hawa vijana wa dotcom?

Kama kuna mtu anajiuliza swali hata mojaa baada ya kupewa mzigo katika age hizo basi anastahili zawadi...

Madogo wanakuwa wanahangaika ili wapate na kazi ya usalama inakuwa upande mwingine...Ndiyo maana taarifa za mimba kwao ni kama hukumu ya kwenda jela miaka isiyopungua 10!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi wewe mzee mwenzangu @FP,

Wadada huwa hamuwezi kutofautisha potential husband materials and wapita njia?

Kama hii hamuiwezi basi poleni sana.....!!


Kuna jamaa yangu mmoja alinambia kuwa mama mkwe wake alimweleza wife, right from the beginning kwamba he was a a real husband stuff....!!


Babu DC!!
ha haaaa, babu DC (hili sikutaka kabisa kulitamka, lakini ngoja niseme tu) ukiwa desperate na ndoa hata mpita njia utaona ni husband material......
hata watu wakuonye vipi unaona wanakuonea wivu tu
 
Wana MMU,

Nafikiri hili tatizo huwa linasababishwa both na wanawake na wanaume kwa pamoja. On one hand, kuna tatizo la kina dada wengi wa kileo kutojua kwamba kuna tofauti ya mapenzi ya ki boyfriend and girlfriend na mume na mke. Hili ni tatizo na ni chanzo kikubwa sana cha domestic violence hapo baadae.

Wasichana wanaanza kutegeshea mimba maboyfriend zao ili tuu waolewe. Unakuta mko kwenye good relationship ya boyfriend and girlfriend sasa hapo mrembo akishaleta tena story za mimba unaona mood ya mwanaume inabadilika ghafla.

Siyo kwamba hampendi au asingependa kuzaa nae. Bali at that moment kama hamkupanga basi inakuwa kama unalazimishwa na hapo ndipo mwanaume anaanza kuwa na stress na hata kama akiamua kukuoa au kukuweka kwake inakuwa mmelazimishana kwa sababu alikuwa anakupenda ki girlfriend tuu. Matokeo yake ni mangumi ndani ya nyumba, matusi na hata mwanaume kukimbia.

Both wanaume na wanawake tuwe makini sana katika uzazi wa mpango. Hasa wanawake wasikubali kupata mimba za kutegeshea maana ni wanaume wachache sana wanaojicomit kwenye mimba kama hizo. Sio kwamba hakupendi ila tuu wakati haujafika. Otherwise, matokeo yake mnaend up na domestic violence na possibility ya kuwa a single mother.

Wasichana wa kileo remember that old man rule of thumb: kuna girlfriend material and wife material. Hii rule bado ni relevant sana kwa mwanaume wengi hasa wale wanaotafuta mwanamke wa kudumu nae maishani. The fact that I have agreed to be your boyfriend, does not necessarily mean that you're a wife material. Kwenye wife material tunaangalia vitu vingi sana aisee. Otherwise, all universal beautiful girls would have been married the moment they were born.

On the other hand, sikubaliani kabisa na wale wanaume wanaodai eti hawataki kuoa au kupata mtoto kwa sababu mambo bado hayajakaa vizuri. Mleta mada anasema eti "utakuta saa nyingine ndio umepanga utamwoa lakini baada either kujiendeleza kimasomo ili uongeze kipato ama kufikia hatua flani ya maendeleo." This is the most ill excuse provided by the modern men.

Hiyo siku ambayo utakuwa ready kumwoa au kuzaa nae may never come. Pia sidhani kama huyo mwanamke atakuwa pale muda wote akikusubiri tuu mpaka ujiendeleze kielimu au uongeze kipato ama kufikia hatua fulani ya kimaendeleo. Mwanamke ana maisha yake pia. Pia her clock is always ticking.

Kama kweli una mpango wa kumwoa mwanamke lakini una mipango fulani ya kumalizia, then either mchumbie kabisa au kaa nae kitako umweleze mipango yako. It may turn out nae alikuwa na mipango mizuri na mkiunganisha na ya kwako mnarahisisha ku-achieve hiyo mipango. Tena kama ulikuwa unatafuta pesa ya kununua kiwanja unaweza shangaa anakumbia tayari anacho kiwanja, ni kuanza kujenga tuu.

Kama kweli una mpango wa kumwoa mwanamke lazima umshirikishe kwenye mipango yako. Na kama ukimshirikisha ipasavyo sidhani kama atakutegeshea mimba.
 
Bora iwe kweli mimba yako sasa unabambikiwa mtoto anazaliwa unakuta ana sura ya kichina


Heri yako uliyejikomboa...wenzio ndo bado wako kwenye uwanja wa mapambano huko Goma na Mbuyi mayi!!


Mbona hutupi mshindo nyuma?

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom