Mimba za kutegeshea zinavyoharibu maendeleo.

mmmh! wanawake tuna tabu sana............lol! namshukuru sana mungu huku nilishavuka lolest! ndo maana nikiwaza juu ya kuzaa watoto wa kike naumia sana kumbe kuna watakao watumia kama msaada tutani tu lol!

Mbona hata wanaume wanatumika dada,

ndiyo maana huwa nasema kwamba, kabla ya kupandisha gauni au kushusha sketi...dada ajue kwa nini anaingia kwenye hilo deal...otherwise ataanza kulaumu bure kumbe naye ameshindwa kufanya due diligency kama mkuu wetu!!

Sie kwa upande wetu huwa hata tukitumiwa tunaona poa, kwa sababu bidhaa yenyewe tunayopewa haipatikani kirahisi!!

Babu DC!!
 
Na wapo wanawake wanategesha mimba simply sababu wanataka kuzaa
wameamua wazae.......bila kujali utamuoa au utamkataa mtoto
mostly hawa ni wenye ajira au biashara
anakutegeshea only kama anaona akikwambia hutakubali
.
rafiki hawa tumewazingumzia na wala hatuna sida nao. ni kweli kuna mtu anaona umri unaenda, hakuna wa kumuoa, au basi tu hataki kuolewa ila anataka mtoto. na mara nyingi hawa wala hawatakuganda, sababu yeye shida yake ilikuwa mtoto tu.
tatizo ni hawa ambao wanategeshea simply sababu anataka akunase kwenye mtego wa ndoa...
 
Kweli kabisa mkuu,

Kwa wanaume wasiojali, hilo siyo issue...ila kwa wale ambao hatutaki kabisa kugawa mbegu kama madume yanayotumiwa kwenye artificial insemination hilo kwa kweli ni tatizo kubwa....

Anyway, namshukuru sana Mungu kwamba siwezi tena kufanyiwa majaribio ya namna hiyo ukizingatia siku hizi wadau waliokwishawezeshwa na kuweza ni wengi!!

Mbona umepotea hivyoa kaka?

Nipoo mkuu
u busy wa kawaida but nipoo

kuna kesi nyiingi za 'kugawa mbegu'
mwisho mtu anakuja kudai...mtoto lol
 
Kutegeshea kokote ni kubaya
mtoto akizaliwa huku baba hana interest nayo ina madhara pia..
Bora mtu ajue kuna mtoto anakuja,a play the role hata kama ndoa hakuna
 
Nipoo mkuu
u busy wa kawaida but nipoo

kuna kesi nyiingi za 'kugawa mbegu'
mwisho mtu anakuja kudai...mtoto lol

Poa mkuu,

Haya maisha kwa kweli yako complicated.....

Sijawahi kufikiria ni jinsi gani naweza kuishi mbali na mtoto ambaye najua ni wangu....

Namshukuru sana Mungu....watoto wangu wote ninao mwenyewe...nawajibika kwa ajili yao,

Iwe jua au mvua...

Babu DC!!
 
kumbe kijana ulikuwa huwajui wanawake....oh hawa mawazo yao noma sana. yaani usijidanganye kabisa unategeshewa hivi hivi akili zao sio nzuri mwana.
alafu na nyie kwa nini mnakaa na demu muda mwingi bwana...kma upo kistarehe sii ubatue na kusepa...unapo kaa muda mwenzi anapata matumaini kuwa mwana ndio umefika hivyo ata kupata mtoto sio tatizo. maendeleo yatafute lakini usitegemee demu .
 
Kweli kabisa mkuu,

Kwa wanaume wasiojali, hilo siyo issue...ila kwa wale ambao hatutaki kabisa kugawa mbegu kama madume yanayotumiwa kwenye artificial insemination hilo kwa kweli ni tatizo kubwa....

Anyway, namshukuru sana Mungu kwamba siwezi tena kufanyiwa majaribio ya namna hiyo ukizingatia siku hizi wadau waliokwishawezeshwa na kuweza ni wengi!!

Mbona umepotea hivyoa kaka?

Babu DC!!
ha haaaaaa, babu hapo kwenye red umenichekesha sana.... na naanza kuamini kuwa kweli unazeeka.
ile kunanihii naye tu, tena bila kinga ni kukubali kugawa mbegu, sasa unataka utake vipi tena?
 
Mbona hata wanaume wanatumika dada,

ndiyo maana huwa nasema kwamba, kabla ya kupandisha gauni au kushusha sketi...dada ajue kwa nini anaingia kwenye hilo deal...otherwise ataanza kulaumu bure kumbe naye ameshindwa kufanya due diligency kama mkuu wetu!!

Sie kwa upande wetu huwa hata tukitumiwa tunaona poa, kwa sababu bidhaa yenyewe tunayopewa haipatikani kirahisi!!

Babu DC!!

babu unajua imejengeka hivi and correct me if am wrong, swala la kutiana liko kwamba mwanaume ndo initiator na kibaya zaid victim wa -ve aspects za ngon ni she kuliko he. na sasa wanawake tunahadiaka sana kwa maneno babu.............natamani nitie maskio ya mabinti nta wasisikie sauti za wanaume labda itawasaidia kukwepa haya
 
Nipoo mkuu
u busy wa kawaida but nipoo

kuna kesi nyiingi za 'kugawa mbegu'
mwisho mtu anakuja kudai...mtoto lol
hivi boss wafikiri mwanaume anayefanya hivi anaitendea sahihi nafsi yake??
 
Last edited by a moderator:
Kutegeshea kokote ni kubaya
mtoto akizaliwa huku baba hana interest nayo ina madhara pia..
Bora mtu ajue kuna mtoto anakuja,a play the role hata kama ndoa hakuna
upo sahihi kabisa, kote ni kubaya. lakini mbaya zaidi ni ile unayotegeshewa ili ufanye kitu fulani, yaani kama blackmailing lakini hiyo ya kukuacha free, kama unataka njoo kama hutaki haijalishi.........
after all ulishakubali kugawa mbegu in a first place, kubali tu matokeo, lol!
 
Poa mkuu,

Haya maisha kwa kweli yako complicated.....

Sijawahi kufikiria ni jinsi gani naweza kuishi mbali na mtoto ambaye najua ni wangu....

Namshukuru sana Mungu....watoto wangu wote ninao mwenyewe...nawajibika kwa ajili yao,

Iwe jua au mvua...

Babu DC!!

Kuna ambao unakuta alijihusisha na 'mali ya mtu'
halafu anaona mtoto anafanana nae lol
huku mama anakataa kuwa ile ni mbegu yako.
.kuuanzisha kesi inakuwa utata mtupu lol
 
ha haaaaaa, babu hapo kwenye red umenichekesha sana.... na naanza kuamini kuwa kweli unazeeka.
ile kunanihii naye tu, tena bila kinga ni kukubali kugawa mbegu, sasa unataka utake vipi tena?

Kwani umehisi kuwa mie nanahii na nani zaidi ya Bibi?

Hivi mkiambiwa kuwa wenzenu tume-retire hamtuamini?

Babu DC!!
 
Na wapo wanawake wanategesha mimba simply sababu wanataka kuzaa
wameamua wazae.......bila kujali utamuoa au utamkataa mtoto
mostly hawa ni wenye ajira au biashara
anakutegeshea only kama anaona akikwambia hutakubali
.
Naona most ya hawa pia umri unakuta umeeshaenda na wanakuwa hawana tena matumaini ya kuolewa. Wanaamua wa gamble tu!
 
Poa mkuu,

Haya maisha kwa kweli yako complicated.....

Sijawahi kufikiria ni jinsi gani naweza kuishi mbali na mtoto ambaye najua ni wangu....

Namshukuru sana Mungu....watoto wangu wote ninao mwenyewe...nawajibika kwa ajili yao,

Iwe jua au mvua...

Babu DC!!
nimeona hapo kwenye RED tu, hongera sana.
kama kweli ni mzee mwenzangu utakuwa umenipata, lol!
 
Poa mkuu,

Haya maisha kwa kweli yako complicated.....

Sijawahi kufikiria ni jinsi gani naweza kuishi mbali na mtoto ambaye najua ni wangu....

Namshukuru sana Mungu....watoto wangu wote ninao mwenyewe...nawajibika kwa ajili yao,

Iwe jua au mvua...

Babu DC!!
babu you are a father and soon a grand pa.
 
babu unajua imejengeka hivi and correct me if am wrong, swala la kutiana liko kwamba mwanaume ndo initiator na kibaya zaid victim wa -ve aspects za ngon ni she kuliko he. na sasa wanawake tunahadiaka sana kwa maneno babu.............natamani nitie maskio ya mabinti nta wasisikie sauti za wanaume labda itawasaidia kukwepa haya

Siku hizi nasikia wanawake kibao wanaanzisha marathoni teacher??

Hukusoma confession ya The Boss kwamba alishawahi kutokewa na toto??

For me, sijawahi and I think the chapter is closed!

Babu DC!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom