Mimba za kutegeshea zinavyoharibu maendeleo.

Mimba za kutegeshea zinavyoharibu maendeleo.

wengine wanajua kabisa
ila anakuwa anaogopa kuwa chanzo cha kuvunjika ndoa kama akienda kudai mtoto

kuna jirani yangu, kuna mtoto mmoja huwa anampa pesa kwa siri
pesa ndogo ndogo tu, labda elfu 2, ama elfu 5

au anamwita anaongea nayee, basi anaondoka

mtoto wa kiume ana miaka kama 12 - 13.

Siku moja nikamuuliza kulikoni, akasema ni mwanangu, ila ndo basi nimeshampoteza.

Maana mama yeke ni mke wa mtu, naogopa kuvunja ndoa.

Hii Live kabisa.

Kuna ambao unakuta alijihusisha na 'mali ya mtu'
halafu anaona mtoto anafanana nae lol
huku mama anakataa kuwa ile ni mbegu yako.
.kuuanzisha kesi inakuwa utata mtupu lol
 
Habarini za Juma pili wana JF.
Leo napenda kuwasilisha juu ya hili la wadada wanapokua na long time relationship. Mara nyingi huwa wanashauriana eti ukitaka flani akuoe we mzalie mtoto. Utakuta saa nyingine ndio umepanga utamwoa lakini baada either kujiendeleza kimasomo ili uongeze kipato ama kufikia hatua flani ya maendeleo. Sasa baada ya kutegeshewa basi tena hapo kidume huez kufikiria maendeleo ambayo umejiwekea zaidi ya kujiandaa na majukumu ya malezi. Hivi wadada mnajua ni jinsi gani inavyouma kwa mwanaume ukimtegeshea mimba?
Hapo wataalamu wa kabumbu tunasema "umefungwa bao la kisigino" huna ujanja
 
Poa mkuu,

Haya maisha kwa kweli yako complicated.....

Sijawahi kufikiria ni jinsi gani naweza kuishi mbali na mtoto ambaye najua ni wangu....

Namshukuru sana Mungu....watoto wangu wote ninao mwenyewe...nawajibika kwa ajili yao,

Iwe jua au mvua...

Babu DC!!
Mkuu, Una uhakika haujaacha sehemu yeyote hata mmoja? Kuna wengine huwa wanajajulika ukiwa umezeeka kabisa au siku unafariki. Usijiamini sana kuwa watoto wako wote kwa sasa unao mwenyewe!
 
Kuna ambao unakuta alijihusisha na 'mali ya mtu'
halafu anaona mtoto anafanana nae lol
huku mama anakataa kuwa ile ni mbegu yako.
.kuuanzisha kesi inakuwa utata mtupu lol


Najua tu mkuu....dunia yao ni tofauti na yetu wengine....

Sasa sisi wengine kugawa mbegu hata kwa wale ambao kweli wanahitaji ni mwiko,

sembuse eti unagawa kwa mke wa mtu?

Hapa inabidi wakubaliane na matokeo!
 
kweli yaweza kuwa shida, ila hizo hatua ambazo unazifikiria kufikia kwanza ndo uoe mshirikishe na yy, atajilinda hakika
 
Siku hizi nasikia wanawake kibao wanaanzisha marathoni teacher??

Hukusoma confession ya The Boss kwamba alishawahi kutokewa na toto??


For me, sijawahi and I think the chapter is closed!

Babu DC!!!
yeah, mabinti wa kisasa wanaweza, nashukuru zamani hatukuwanayo hii.
wengine tulivyo madomo zege si tungebaki tumechacha? lol!
 
nimeona hapo kwenye RED tu, hongera sana.
kama kweli ni mzee mwenzangu utakuwa umenipata, lol!

Ahsante sana mzee mwenzangu...kama wanyama wa porini wanalinda watoto wao kwa nguvu zao zote,

Sie tunaumwa nini hadi tuwatawanye kila mtaa kama mbegu za ufuta?

Babu DC!!
 
ole wake

mtu akigawa mbegu amegawa.

Cha kuokota si cha kuiba . . .

Labda kama alitegeshewa, ila kama aliombwa anakuja dai mtoto wa nini?

Aende tu akamsalimu mtoto
i have a friend of mine aliwahi kumwambia baba yake mzazi

" nani aliwaambia mwanangu ana baba? huyo aliyekuja hapo na kudai eti ni baba wa mwanangu mwambie akamtafute alikomweka, kwani nilimflash siku aliponikataa"

kisa kilikuwa ni nini?? mwanaume alimuoa huku bara akidai hana mke,wakaish mwaka mzima kisha bwana akadai twende tukasalimie visiwan nyumban kwetu( kwa mume) mke akajifungasha kufika visiwani akakuta mtu alishaoa na walikuwa wameish mwaka hadi wana mimba pasi mume kumwambia ukweli. aliomuhoji mume akamwambia huyu ni mke mkubwa na nimekuzalisha ili usinikatae. binti kesho yake alibeba virago nakurudi bara. watu wana moyo alikata mawasiliano yote na yule baba. sasa huku nyuma binti akajifungua akamwita mtoto kwa jina lake like uze mtoto umwite neema kongosho.

siku mwenye mimba kawaza akajifungasha toka visiwan kuja bara kumsalimia mtoto si akakutana na baba mkwe nyumbani?? bba akampaaiahgia binti simu na hilo ndo jibu alompa baba yake mzazi sasa unategemea baba amwambie eje?? na alimsisitiza ole wa mtu amwonyeshe mwanagu atanikoma. aliondoka pasi hata kumwona mtoto.

haya mambo acha bana usiombe beeeee!
 
Naona most ya hawa pia umri unakuta umeeshaenda na wanakuwa hawana tena matumaini ya kuolewa. Wanaamua wa gamble tu!


Madhara ya hizi 'gamble' ni kuwa unaweza
chota na kitu kingine pia....kikawa more deadly....
 
kama hauko tayari usioe hata kama mimba ni yako.

Kuoa ni zaidi ya kumimbishama tu.

Imagine mtu unaamka naye kila siku? Ije mvua lije jua?

It's crazy!

Hii imenitokea mara 2 ubaya mimba za kubambikiwa
 
Siku hizi nasikia wanawake kibao wanaanzisha marathoni teacher??

Hukusoma confession ya The Boss kwamba alishawahi kutokewa na toto??


For me, sijawahi and I think the chapter is closed!

Babu DC!!!

mmh! babu ukweli nashukuru nimesha expire the menopouse is around the corner lol!

watoto wa siku hizi wana mbwembwe lol!
 
Mkuu, Una uhakika haujaacha sehemu yeyote hata mmoja? Kuna wengine huwa wanajajulika ukiwa umezeeka kabisa au siku unafariki. Usijiamini sana kuwa watoto wako wote kwa sasa unao mwenyewe!

Una maanisha nini?

Mimi siyo Madame B ndugu Rejao.....kwa hiyo majibu au maelezo yangu hayana makando kando .....ni 100%

Sasa hao watatokea wapi wakati mie namjua bibi tu?

Kwani wanapatikana kwa njia ya hewa?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Umekuwaje tena @FP,

Au ulitaka kumtakia babu usiku mwema ukaishia kuchanganya madesa?

Babu DC!!
kwani bibi hakuamkii? naye si ni mzee mwenzetu? sisi wazee wa zamani tunaamkia wababa bwana, usiniangushe mzee mwenzangu
 
mmh! babu ukweli nashukuru nimesha expire the menopouse is around the corner lol!

watoto wa siku hizi wana mbwembwe lol!


Nikuunganishe na bibi akupe ma ujanja ya kukabiliana na hiyo kitu?

Ila binafsi nilienjoy sana tofauti na nilivyokuwa natishwa!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom