Heci
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 3,772
- 6,656
Swimming 🏊♀️ 🥽 is the best optionAcha kuwa mchafu kuoga madam.
Hebu piga maji kijusi kurukeruke kwa shangwe na vibe!

Huu ni uchawi live. Na vipi aliyelala naye akiwa sio baba wa mtoto?Asubuhi kuwa wa kwanza kuamka harafu mruke huyo baba mtoto,, toka zako nje au hata kakae umsubili aamke.
nakwambia hivi maudhi yote ya mimba atayabeba yeye........
Nini tofauti kati ya pepo la uchafu na pepo mchafu?Jitahidi na ukemee hilo pepo la uchafu
Huu ni uchawi live. Na vipi aliyelala naye akiwa sio baba wa mtoto?
Maana nyie wanawake watu wa ajabu sana, umeolewa na Mshana Jr, unaenda kubeba mimba ya GENTAMYCINE
Yaani naoga basi tu ili iwe mradi. Nimetokea kuyachukia kabisa maji ya kuoga.
Ambaye amewahi kukutana na kadhia hii anajulishe alivukaje? Mimba ina wiki 10
Ah mie embe hapana nilikuwa napenda ubuyu..... Kipindi hicho ofisi iko karibu na imalaseko supermarket.....asubuh napitia ubuyu wangu....unaliwa mpaka nikitoka. Napitia pweza na supu yake....nikifika nyumbani barafu natafuna mpaka meno yanakufa ganzi......ila sasa haya yote siwezi kuyafanya....mimba kiboko.....
Hizi tulifundishwa na bibi zetu ikikufaa chukua.
1. Asubuhi kuwa wa kwanza kuamka harafu mruke huyo baba mtoto,, toka zako nje au hata kakae umsubili aamke.
nakwambia hivi maudhi yote ya mimba atayabeba yeye........
2 vua nguo zote na uwe peke yako.
chukua maji ambayo hayajalala fresh!!!! jinyunyuzie kuanzia juu ya tumbo au kwenye maziwa na uwe umekinga bakuli au sahani yatadondokea hapo yanywe.
Hutasikia kichefu chefu wala kutapika! utakula kila kitu.
Ah mie embe hapana nilikuwa napenda ubuyu..... Kipindi hicho ofisi iko karibu na imalaseko supermarket.....asubuh napitia ubuyu wangu....unaliwa mpaka nikitoka. Napitia pweza na supu yake....nikifika nyumbani barafu natafuna mpaka meno yanakufa ganzi......ila sasa haya yote siwezi kuyafanya....mimba kiboko.....
Kikubwa malezi tu tena hao wakiume wakiwa wa njee wasumbufu sanahahaha mkuu ata usinipe hongera.
Kwan hata mim sikupenda iwe hvo.
Wanazingua wadada.
Wa kwanza alinisalit akaleta dharau akaondoka sikumfatilia.
Wa pili, yey aliambiwa nina mke, ambay niwakwanza.
Akaondoka na ujauzto wa miez 3.
Wa tatu, yeye nilivuta kijijn single mother wa mtoto mmoja, akaniambukiza gono.
Aliondoka nae nauja uzito. Na hataki kurudi.
Kwa hiyo hapa napanga majesh upya niendeleze SEASON 4.
Nataman kuwa na family na namwomba Mungu wa nne tufke uzeen
Vipi ya kunywa? Yanapita!?Yaani naoga basi tu ili iwe mradi. Nimetokea kuyachukia kabisa maji ya kuoga.
Ambaye amewahi kukutana na kadhia hii anajulishe alivukaje? Mimba ina wiki 10
Hiyo ya pili inafanya kazi kweli?Hizi tulifundishwa na bibi zetu ikikufaa chukua.
1. Asubuhi kuwa wa kwanza kuamka harafu mruke huyo baba mtoto,, toka zako nje au hata kakae umsubili aamke.
nakwambia hivi maudhi yote ya mimba atayabeba yeye........
2 vua nguo zote na uwe peke yako.
chukua maji ambayo hayajalala fresh!!!! jinyunyuzie kuanzia juu ya tumbo au kwenye maziwa na uwe umekinga bakuli au sahani yatadondokea hapo yanywe.
Hutasikia kichefu chefu wala kutapika! utakula kila kitu.
Huna akili ya kukaa na wanawakehahaha mkuu ata usinipe hongera.
Kwan hata mim sikupenda iwe hvo.
Wanazingua wadada.
Wa kwanza alinisalit akaleta dharau akaondoka sikumfatilia.
Wa pili, yey aliambiwa nina mke, ambay niwakwanza.
Akaondoka na ujauzto wa miez 3.
Wa tatu, yeye nilivuta kijijn single mother wa mtoto mmoja, akaniambukiza gono.
Aliondoka nae nauja uzito. Na hataki kurudi.
Kwa hiyo hapa napanga majesh upya niendeleze SEASON 4.
Nataman kuwa na family na namwomba Mungu wa nne tufke uzeen
Ni kawaida my dear mie mke wngu alikuwa hataki kabisa kuoga hadi nkawa na kazi ya kumuogesha asubuhi na usikiYaani naoga basi tu ili iwe mradi. Nimetokea kuyachukia kabisa maji ya kuoga.
Ambaye amewahi kukutana na kadhia hii anajulishe alivukaje? Mimba ina wiki 10
Yaani naoga basi tu ili iwe mradi. Nimetokea kuyachukia kabisa maji ya kuoga.
Ambaye amewahi kukutana na kadhia hii anajulishe alivukaje? Mimba ina wiki 10
Heshima ni kitu cha burePicha ya Tumbo...Tomasoo
Uamuzi wa busara kabisa, mtoto akazaliwa masikio yamefanana na ya nani?Mm wife alibeba mimba alinichukia Kila siku ndani ikawa ni vita nikatamani kuihama nyumba nilipo ona yamenishinda nikamusukuma nyumbani kwao mpaka atakapo jifungua.