Mimba imenifanya nichukie kuoga

Mimba imenifanya nichukie kuoga

Yaani naoga basi tu ili iwe mradi. Nimetokea kuyachukia kabisa maji ya kuoga.

Ambaye amewahi kukutana na kadhia hii anajulishe alivukaje? Mimba ina wiki 10
Ndiyo, hii inaweza kutokea kabisa kwenye ujauzito wa wiki 10. 😅 Si lazima iwe kwamba mtu “amechukia usafi.” Katika kipindi hiki homoni za ujauzito zinaweza kuongeza sana hisia ya kunusa, na harufu fulani zinaweza kuchochea kichefuchefu au kumfanya mtu asivumilie hata maji, sabuni au shampoo. Wiki ya 10 bado ni kipindi ambacho dalili hizi huwa za kawaida.
 
Bora huyu mwenye mimba ..mimi siku hizi nachukia harufu ya supu ya nyama na kuku nainywa kujilazimisha sijui ndo uzee...zamani nilikua sisikii kitu 😷😷 I am cooked
 
Mwalii unasingizia mimba tu kumbe ni tabia yako😊😊😊

FB_IMG_17861318492022598.jpg
 
Back
Top Bottom