Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,435
- 166,884
Wanawake wajawazito wana dunia yaoHii ilimtokea mama watoto pia , Miaka hiyo nakumbuka alikuwa hataki kuoga wala kufua nguo zake zozote yaani mpaka za siri, wala kuosha vyombo hataki. Yaani nilisafiri nikarudi nakuta nyumba inakaribia kuoza.., Shikamoo MIMBA