Sasa wiki 10 hiyo ni mimba? Kwl siku hizi hakuna wanawake, hapo bado atakavyomtesa kijana wa watu!Yaani naoga basi tu ili iwe mradi. Nimetokea kuyachukia kabisa maji ya kuoga.
Ambaye amewahi kukutana na kadhia hii anajulishe alivukaje? Mimba ina wiki 10
Kirafiki tu sababu nakujali.Inakuhusu nini?
Kwa hiyo umeamua ukimbilie ChatGPT kuchukua ya kuandika , 😂😂Ndiyo, hii inaweza kutokea kabisa kwenye ujauzito wa wiki 10. 😅 Si lazima iwe kwamba mtu “amechukia usafi.” Katika kipindi hiki homoni za ujauzito zinaweza kuongeza sana hisia ya kunusa, na harufu fulani zinaweza kuchochea kichefuchefu au kumfanya mtu asivumilie hata maji, sabuni au shampoo. Wiki ya 10 bado ni kipindi ambacho dalili hizi huwa za kawaida.
Wewe ni mvivu tu wa kuoga hilo halina shakaYaani naoga basi tu ili iwe mradi. Nimetokea kuyachukia kabisa maji ya kuoga.
Ambaye amewahi kukutana na kadhia hii anajulishe alivukaje? Mimba ina wiki 10
Kinu kitakua kinatema balaa.Yaani naoga basi tu ili iwe mradi. Nimetokea kuyachukia kabisa maji ya kuoga.
Ambaye amewahi kukutana na kadhia hii anajulishe alivukaje? Mimba ina wiki 10
Aliyekupenda kabla ya mimba akipata mimba anakupenda zaidi hawezi jizuiakila mimba huja na tabia zake, kwa kila mwanamke.
Demu wangu wa KWANZA.
alipobeba ujauzito alizidi kunipenda sana nakunizuia nistoke awe ananiona tu machon pake.
Tulipata mtoto wa KIUME
Demu wangu wa PILI.
Alipobeba ujauzito alipenda harufu ya KIKWAPA changu tu, atakuja atajilaza nakunitanua mkono kisha ataweka pua zake humo.
nikiondoka kazin ataomba shati langu, tena lile shati lenye jasho.
nilibaki kushangaa jamani hii type...
Tulipata mtoto wa KIKE
na akinusa anasema hapo moyo umetulia.
Demu wangu wa TATU alipobeba ujauzito sasa.
wacha nicheke daaa.
ALINICHUKIAAA acha, nililala store nikichelewa hom hata saut yang hakutaka kuiskia.
Mpaka aliondoka kwenda kwao(kuna uzi niliandika aliniambukza gono na akaondoka kwao) na hata kweny simu nilipo mpigia aliongea kama tuna ugomvi.
Tumepata mtoto wa kiume mwez wa 8.
Ila hajarud bado
Ndio mzee, umekereka?Kwa hiyo umeamua ukimbilie ChatGPT kuchukua ya kuandika , 😂😂
Huoni?Hapo kuna uchawi gani????
Inaoshwa kwa bunduki itemayo risasiSasa ku.ma si itanuka bibie?
anhaaaa kumbe, ahsante mkuu umenipa mwanga angarau nimejua ABCAliyekupenda kabla ya mimba akipata mimba anakupenda zaidi hawezi jizuia
Anayekuchukia ila anajibaraguza kabla ya mimba akipata mimba atakuchukia live bila chenga utaona chuki yake halisi
Mimba haileti tabia ina ibua tabia ulizozificha ambazo ni tabia zako halisi
mwandko wako unaniumiza macho mkuu.Tumewaacia mabwana kama mabinti na viherehere vyao na visebengo. Wanajuuua wanawake kuliko wanavyojijua wenyewe. Huwa nasoma comments nasema hiiiiii
Ps: sijasoma comments za hii thread