Millard Ayo Unaboa Kinoma

Rio Tinto

JF-Expert Member
Sep 18, 2014
777
450
What happened to Amplifier we used to listen maana naona jamaa siku hizi story zake ni za kidaku and all about Diamond Platnumz mara Diamond this mara Diamond that ujinga mtupu, come on Millard give us break siku hizi kipindi chako kinaboa kinoma ndio maana ikifika saa moja na tune kipindi cha The Cruise cha East Africa Radio. Nimebakiwa na vipindi vitatu tu Clouds Radio, Power Breakfast, XXL, Jahazi na Sports Extra na kile So So Fresh cha madafada Fetty.
 
what happened to Amplifier we used to listen maana naona jamaa siku hizi story zake ni za kidaku and all about Diamond Platnumz....mara Diamond this mara Diamond that ungese mtupu come on Millard give us break siku hizi kipindi chako kinaboa kinoma ndio maana ikifika saa moja na tune kipindi cha The Cruise cha East Africa Radio.....nimebakiwa na vipindi vitatu tu Clouds Radio...Power Breakfast, XXL, Jahazi na Sports Extra na kile So So Fresh cha madafada Fetty

Are you talking to him on this forum?
 
Sasa kama ushapata suluhisho la mgogoro wako, umeileta hapa kutupotezea muda. AU??
 
Clouds will always be my favorite station... watu kila siku utakuta wanajifanya wanaiponda lakini ukiangalia post zao unagundua ni lazima uwe msikilizaji wa radio husika ndipo unaweza kuongea wanayoongea!!
 
Hapana aisee clouds ni wapuuzi sana mi binafsi sijawahi sikiliza radio hiyo.. Ni RFA mwanzo mwisho
 
Clouds will always be my favorite station... watu kila siku utakuta wanajifanya wanaiponda lakini ukiangalia post zao unagundua ni lazima uwe msikilizaji wa radio husika ndipo unaweza kuongea wanayoongea!!

Umeonaeee...!! Ni shiggiidiii.....
 
Nina miaka kadhaa sasa definition ya radio kwangu ni clouds FM.

Japo ofcourse yes sometimes wanaboa but kuboa kwao si kama wengine ,hawa wengine Bado wamelala kabisa
 
Back
Top Bottom