MTAZAMO
Platinum Member
- Feb 8, 2011
- 20,082
- 35,274
Ushindani wa radio Bongo ni mdogo mno.........hatuna watangazaji wabunifu zaidi ya kuigana .....alafu hapo Clouds siku hizi matangazo imekuwa zaidi ya kero .......unaweza kutoka Posta hadi mwenge ni matangazo tu ..........alafu hata kipindi cha Millard walau unaweza kuwa makini anapozungumza lakini muda anaotumia kuzungumza au kufanya mahojiano ni mdogo mno........kipindi kimejaa matangazo ......muziki wa back to back hadi inaboa ...........
lazima ajitahidi kipindi kiwe busy kidogo ........kwa mahojiano yanayohusu stori zake ........lakini pia DJ awe na muda wa kutosha kupiga muziki ........mtu kama DJ Too Short akipewa nafasi kila baada ya Millard kuzungumza kipindi kitachangamka ..........sasa hivi tunawasikiliza sababu ya ushindani mdogo sana wa radio nyingine .....huu ndio ukweli lakini ubora wa vipindi vingi Clouds umeshuka sana .......radio nyingine ndio kabisaaa ni copy and paste .......
Choice fm ndio radio bora kwasasa .....tatizo ipo kwenye frequency zetu zileeeee ..............